Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Yaani hapo kwenye “sema jembe langu” nilijenga picha ya mchagga fulani hivi ana mbwembwe sanaa afu mpenda hela sana [emoji28]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mchaga mmoja mitaa ya Msewe ndio zake .. [emoji16][emoji16][emoji1]
 
....
 
Weka link hapa tuone
 
Upo tayari kujuzwa au tukuache ukiendelea kujua vivyo hivyo?

Sent from my CPH2357 using

Upo tayari kujuzwa au tukuache ukiendelea kujua vivyo hivyo?

Sent from my CPH2357 using JamiiForums mobile app
Swali la kijinga sana
Km unajua elezea na rekebisha nilipokesea unavyofahamu then sio mm tu nitakuwa nimeelimika wengi pia watakuwa wameelimika
Sasa unavyoniuliza hilo swali la kipumbavu kama hilo unategemea nikujibu vipi
Aliyeniquote kunisahihisa sikumbishia nimemuelezea ufahamu wangu nikitegemea atanijuza zaidi THELUTHI ni nini
we kam inajua mwaga NONDO au kma unaona DEAL sana unaweza kupotezea hujaitwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…