Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Legend katika ubora wako[emoji1787] ubarikiwe sanaa kaka natoka na mengi hapa[emoji120][emoji120]
 
Shukran mumy nimefika
 
Apostle hili lishangazi ulisema utaleta story yake mahsusi kabisa,kama vipi hiki kipengele kiruke ili utengeneze story kamili siku za mbeleni uko.
Napata hisia kwa sasa baba yako kamtuma mstaafu akufungukie namna anavyojisikia kuhusu wewe,sio masuala ya kazi tena hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…