Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

SASA nimetegua Ile kabari ya mshua alompiga mchaga ilitokea wapi kumbe mshua alipata mafunzo Urusi?
 
Duuh noma, hiyo ishu ya ukitoka kwenye mfumo unasahaulika, naipata vizur sana na uzuri nimeijua mapema inanisaidia sana kushinda unafki.
Arnold Schwarzenegger naye alishawai kuizungumzia kwamba baada ya Ugavana kuisha walimsahau kabisa ata ile Hotel aliyo kua anafikia na kupewa chumba maaalumu ilifika mahali akienda anaambiwa vyumba vimeisha ata kama vipo, nafkir huo ndo msingi wa maisha Dunia nzima unafki mwanzo mwisho, nashkuru nimejua mapema.
 
Hata hivyo kwenye hii story, sitoandika in details chochote kuhusiana na Mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…