Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Ngoja na mm nijikumbuke mwenyeweπŸ˜”πŸ˜”

FOX21 kujaaaaaaaaaa.... huku mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯



......🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sorry guys portion ya leo imekuwa fupi, kutokana na mazingira niliyopo. Nimejitahidi tu walau kuandika ili nisipitishe siku bila kupost, kama nilivyoahidi. Next portion nitafidia.

Nipo mazingira tight. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Upo na Shani nini mzee [emoji23][emoji23][emoji24]
 
..
 
Ilikuwaje ukaelewa kirahisi maelezo ya mzee dingi kukufungia vioo msala wa mkaa na mahangaiko yoote Yale hadi kwa waganga au kuna ufafanuzi mbeleni?
Binafsi sijaelewa sijui jinsi nilivyo naona kirahisi sana afu dingilii anachukulia oya oya tu
@Analyse Nataman kuelewa hapa mshua
Kunao kitu ntajifunza nafikir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…