Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

aposto una huruma sana kwani huyo bi mkubwa tofauti na kuwa mwenye nyumba uliyohama mlikua mnafahamiana zaidi?

Kesho mbali fanya kuendelea hata nusu ya kesho.
 
aposto una huruma sana kwani huyo bi mkubwa tofauti na kuwa mwenye nyumba uliyohama mlikua mnafahamiana zaidi?

Kesho mbali fanya kuendelea hata nusu ya kesho.
Kaka, nilikaa kwenye nyumba zake mbili. Ya kwanza nilikaa kama miaka miwili, hii ya pili pia nilikaa kwa muda kadhaa. So ni mtu ambae tulishajenga ukaribu baina yetu. Palikuwa na watu wengi sana wakaribu yake waliokuwa wanaonifaham
 
Hapa bado najiuliza, mzee KY aliwaza nini mpka kumchukua apostle kwenye dili la mama mstaafu maana risk ni kubwa sana,
Angalau angemtonya kwanza apostle kupata pre reaction yake ili ajue aendelee nae au vipi.
 
Mkuu, yule Mzee KY alikuwa ahead of time muda wote. Angenipanga mapema, ilikuwa obvious ningekataa. Na ndio maana alikuwa na plan B. Ili hiyo plan B ifanye kazi, lazima mm, na kina Mzee Dingi wote tuonekane eneo la tukio.

Baada ya pale, tukawa useless kwake.
 
sawa ngoja tuisubili plan B tuone majibu ya maswali yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…