Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Aiseee
 
Uaminifu ni silaha Moja nzuri kwa binadamu. Mwanaume yeyote neno lake ni ndio au hapana. Huwa Mimi naamini maneno yanayotoka kwenye kinywa Cha mtu. Kama umenidanganya sawa na umeniambia ukweli pia sawa. Hapo kweli upo mtego bro.
 
Hapo mama mstaafu anapigwa tukio na professor KY,
Halafu msala utamuangukia aposto japo hajalamba hata mia, aposto ataenda kumtafuta mzee dingi kule kwake atakuta ameshahama.
Na hapo rasmi aposto atakuwa katupwa kwenye maji kutoka kwenye mtumbwi wa vibwengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…