Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

Apostle mwanangu ibada inaanza saa tatu aisee. Ila heri ya sikukuu ya Pasaka. Bwana akufufukie ili umfurshishe mdingi na mchumba mnayelingana au uliyemzidi umri.
 
Naam! Kwa heshima na taadhima, napenda nimuite apostle Analyse Malenga Malenga Atufungulie meza ya bwana.......

Kwa upako mtakatifu alioupokea toka kwa mtumishi jemedari mkuu (kondoo aliepotea) Evangelist Mr.Kesho Yetu.....

Naam bwana analyze muda ni huu.... Kondoo wako tuko Hapa kukuita utufungulie pasaka Kwa portion Hata tatu....

Tuule huu mkate wa bwana vizuri katika hii Sikukuu ya Noeli...

Karibu Pasaka!

Uwanja ni wako SASA......!
 
Am not so sure kama ni serious or not, ila sitoruhusu hata kwa majaribio mtu anifanyie hivyo 😅😅😅
Mkuu unajua hapa tunaelimishana, najua kina mzee dingi uliwafanyia mchezo kwenye kuchukua nyayo, ila mie naomba kujua mtu akichukua nyayo anakua amedhamiria nini? na nini ni madhara yake?
 
Lakini lazima hela italipa aisee na movie kuchukua tuzo kadhaa. Kama ile movie ya VIVA RIVA ya Djo Tunda wa Munga, au movie ya TSOTSI. Waigizaji wasio mastaa ila walio serious na kazi
Kabisa mkuu, wana MMU 100 kila mmoja akatoa 1m tunatoboa
 
Upako wa Mr KY hahahah
 
Analyse Kijiji kinaitwa USOKAMI sio USOKANI. Nitafuatilia story yako mwisho maana kuna ujumbe wa kujifunza kwa sisi vijana watafutaji. Unaweza kuwa ndugu yangu Analyse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…