Sijawahi kukutana na mwanamke bikra katika mapenzi

Usiriaz unaouongelea ni kuoa au ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio unajua kuna mahusiano mengine mtu unaingia tu bila kuwa na malengo na mtu ya kufika nae mbali na utakavyokuwa unaviishi kwake ndio vitathibitisha hilo na vitafanya mahusiano yadumu au yavunjike.

Kwa upande wa mtu ambae upo siriaz nae kuna vitu uwezi kuvifanya sio kwa maamuzi tu bali ni automatic inakuwa hvyo kwa sababu unayalinda malengo yako kwake but unfortunately mambo yanaweza yasiende sawa na malengo yasitimie, una move on.

Huwa nakuwa siriaz na mtu baada ya kujihakikishia kuwa nmemfaham tabia zake kwa kias flani na nmekubali kuyavumilia mapungufu yake mpaka pale atakapoona inatosha yeye.
Nb: am not a player


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sijaona uhusiano kati ya ulichoandika na nilichoandika mkuu

Uhusiano upo, umesema asiyejua maana haambiwi maana, nmejibu mficha uchi hazai nikimaanisha hiyo maana unayoificha haina faida yeyote kama utabaki nayo bila kuitoa iwape mwanga na wengine kwa sababu hapa ndio mahali pake(kuelimishana).

Kumbuka sio kila anachokifanya mtu anakuwa na ufahamu nacho au anaijua maana yake, na sio vibaya kumfahamisha zaidi ndio maana jf we dare to talk openly ukificha hiyo maana, haina maana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanakela sana, bora bro uendelee na hawa waliokubuhu, ukiww na moyo mwepesi na wa huruma unaweza shindwa kuitoa. Nishakutana na kama wawili, mmoja mwanafunzi wa SAUT mwingine sekondari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ya kwanza nakutana na huyo binti wa SAUT ilikuwa anaenda dar likizo, siku ya mgegedo nilighairisha tukiwa lodge baada ya kuniambia yupo bikra, ikabidi niange siku nyingine nimpime maana ilinishtua nikihofia isije kuwa amezaliwa akiwa na HIV. Ila baada ya kumpima na kumkuta yupo fresh nikala mzigo licha ya kuwa anajua nimeoa na mpaka leo bado nipo nae na wazazi wake wananifahamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi kuna bikra za wiki, mwezi moja, miezi sita nk. Yaani hapo ndiyo kitu original. Otherwise, ni kama daladala. Halina Jumapili labda siku ya service equivalent to period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…