Sijawahi kukutana na mwanamke bikra katika mapenzi

Sijawahi kukutana na mwanamke bikra katika mapenzi

Uongo dhambi.

Nasikiaga tu stori juu ya uvunjaji wa yai kwa kwenzangu tuuu. Lakini mimi bunafsi sijawahi kukutana na mwanamke mpya. Sijui kama ni ushamba, ulimbukeni ama nini.

Hata mke wangu niliyemuoa jamaa walishapita nae, makoloni yangu yote mabaharia walishapita nayo. Kikubwa heshima inapatikana.

Hivi niko peke yangu ama kuna wenzangu nao bado hamjabahatika kuvunja yai?
Nenda uchagani vijijini
 
Mie nashangaa sana eti unakuta humu kuna mijitu ina akili timamu kabisa na imesoma mpaka vyuo halafu jitu linakuja kuoa demu asiye na bikra hata moja! Yaani wahuni walishavunja komeo la mlango wa mbele na kuhamisha bawaba za mlango wa nyuma😆😆😆
 
😂😂😂😂😂😂 sisi wapenda mashangazi huo utoto wa kuwaza bikra tushaachaga
 
Mie nashangaa sana eti unakuta humu kuna mijitu ina akili timamu kabisa na imesoma mpaka vyuo halafu jitu linakuja kuoa demu asiye na bikra hata moja! Yaani wahuni walishavunja komeo la mlango wa mbele na kuhamisha bawaba za mlango wa nyuma😆😆😆
Kwani mtu ukisoma mpaka chuo ndo....
Weee jamaa 😂😂😂😂😂😂
 
2014.....niko najitolea mahali baada ya kutoka JKT nksubr kwnda chuo mwez Nov, nlikutana na binti mmoja mzur sana, dini sana yan, akanielewa,tukadate huku akiwa kanihakikishia kuwa yeye ni bikra, ile 2015 april nkiwa chuon yeye yupo dar, tukapanga kuonana, huyo nikasafr from Dom to Dar, meeting her by suprise she wasn't a virgin, nliumia sana..... akaniomba msamaha maisha yakaendelea nko nae adi leo ila ukwel alinitoa kwenye plan zangu kabsa 'bnafs nlipanga mwanamke ntakaemtoa bikra ndo ntakae muoa' ila ndo hvo tena, Huu uchungu haujawah isha sijui kwanin, nyuzi za hivi huwa znaniumiza mno mpaka sasa.
Ahahaaaaa 😁 pole mkuu wahuni sio watu wazuri
 
Back
Top Bottom