Sijawahi kukutana na mwanamke bikra katika mapenzi

Sijawahi kukutana na mwanamke bikra katika mapenzi

Uongo dhambi.

Nasikiaga tu stori juu ya uvunjaji wa yai kwa kwenzangu tuuu. Lakini mimi bunafsi sijawahi kukutana na mwanamke mpya. Sijui kama ni ushamba, ulimbukeni ama nini.

Hata mke wangu niliyemuoa jamaa walishapita nae, makoloni yangu yote mabaharia walishapita nayo. Kikubwa heshima inapatikana.

Hivi niko peke yangu ama kuna wenzangu nao bado hamjabahatika kuvunja yai?
Bikra ni ukosefu wa oportunity wala si bahati...kwani dada yako anayo?
 
Wangu wawili washaolewa wapo kwenye ndoa zao ila bado natafutwa sana. Kuna tabia siipendi kwa hawa tuliowahi kuwa wakwanza kwao, bnafsi yangu wao wenyewe ndio walizingua. Tabia ya kulaumu kuwa amekupa usichana wake alafu umemchezea na kumuacha. Haka katabia wengi wanacho sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
So hapa ni kama unaniambia nisioe asiye bikra. Maana kama wanakutafuta sana, maana na wengine wanatafutwa na wanapasha kiporo.

Women past matters alot.
 
Labda ukutane na wajizi, soda inaweza kufunguliwa tena ikafunikwa kiufundi kiasi ambacho hutaweza kujua kama ilifunguliwa. Kwa kifupi wengi tunakunywa sada zilizofunguliwa bila kujua.
 
Uongo dhambi.

Nasikiaga tu stori juu ya uvunjaji wa yai kwa kwenzangu tuuu. Lakini mimi bunafsi sijawahi kukutana na mwanamke mpya. Sijui kama ni ushamba, ulimbukeni ama nini.

Hata mke wangu niliyemuoa jamaa walishapita nae, makoloni yangu yote mabaharia walishapita nayo. Kikubwa heshima inapatikana.

Hivi niko peke yangu ama kuna wenzangu nao bado hamjabahatika kuvunja yai?
Bikra wapo, tena wengi tu.
 
Back
Top Bottom