Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bikra ni ukosefu wa oportunity wala si bahati...kwani dada yako anayo?Uongo dhambi.
Nasikiaga tu stori juu ya uvunjaji wa yai kwa kwenzangu tuuu. Lakini mimi bunafsi sijawahi kukutana na mwanamke mpya. Sijui kama ni ushamba, ulimbukeni ama nini.
Hata mke wangu niliyemuoa jamaa walishapita nae, makoloni yangu yote mabaharia walishapita nayo. Kikubwa heshima inapatikana.
Hivi niko peke yangu ama kuna wenzangu nao bado hamjabahatika kuvunja yai?
So hapa ni kama unaniambia nisioe asiye bikra. Maana kama wanakutafuta sana, maana na wengine wanatafutwa na wanapasha kiporo.Wangu wawili washaolewa wapo kwenye ndoa zao ila bado natafutwa sana. Kuna tabia siipendi kwa hawa tuliowahi kuwa wakwanza kwao, bnafsi yangu wao wenyewe ndio walizingua. Tabia ya kulaumu kuwa amekupa usichana wake alafu umemchezea na kumuacha. Haka katabia wengi wanacho sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Oa mkuu watu wametofautiana.So hapa ni kama unaniambia nisioe asiye bikra. Maana kama wanakutafuta sana, maana na wengine wanatafutwa na wanapasha kiporo.
Women past matters alot.
Kivipi mkuu?Oa mkuu watu wametofautiana.
Kuna wengine bikra zilitolewa na kitako cha baiskeliKivipi mkuu?
Bikra wapo, tena wengi tu.Uongo dhambi.
Nasikiaga tu stori juu ya uvunjaji wa yai kwa kwenzangu tuuu. Lakini mimi bunafsi sijawahi kukutana na mwanamke mpya. Sijui kama ni ushamba, ulimbukeni ama nini.
Hata mke wangu niliyemuoa jamaa walishapita nae, makoloni yangu yote mabaharia walishapita nayo. Kikubwa heshima inapatikana.
Hivi niko peke yangu ama kuna wenzangu nao bado hamjabahatika kuvunja yai?
Ni wachache sana.Kuna wengine bikra zilitolewa na kitako cha baiskeli
Angalia na tabia ya mtu, hata ukipata bikra kama hajatulia atakusumbua mbeleni.Ni wachache sana.
Wengi wao hawana bikra. Tatizo ni ile soul ties .