cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swala sio wingi au uchache swala ni kwamba umeweka Maagano ambayo ytakufanya maisha yako yaharibike au kuandamwa na vitu vya ajabu na ubaya zaidi kizazi chako kitaaribikiwa kwa sababu mtoto wa nyoka ni nyoka au ikawa balaa popote katika familia yako malipo ni hapa hapa Dunia.Wanawake 50 unashangaa?? Kweli we bado sana [emoji3][emoji3]
Ooh kumbe..Swala sio wingi au uchache swala ni kwamba umeweka Maagano ambayo ytakufanya maisha yako yaharibike au kuandamwa na vitu vya ajabu na ubaya zaidi kizazi chako kitaaribikiwa kwa sababu mtoto wa nyoka ni nyoka au ikawa balaa popote katika familia yako malipo ni hapa hapa Dunia.
Nafasi ya kutubu na kuacha bado ipo wazi.
Kwa wanaojielewa na kujiheshimu ni bado sana. Ila kwa wanaohisi kubadilisha wanawake ni fashion ni jambo la kawaida. Pole sana kijana.Wanawake 50 unashangaa?? Kweli we bado sana [emoji3][emoji3]
Hahaaa haahaaNilikua kama wewe lakini niliwinda std 7 leaver wa kama miaka 3 after school nilipopata nikavunja glass nikaweka ndani maana huyo X wake ni mimi.
Binafsi bwana sivutiwi na wanawake ambao ni bikira ... Huwa wanasumbua Sana aisee .... Wakati wa kumtoa bikira vurugu tupu kama wacheza sumoSijawai kuwa siriaz na mwanamke ambae sijambikiri, bikra zipo bnafsi kuna raha ya kuitoa ile kitu ila usihuzunike sana kama hujawai kutana na ambae hajawai mengine n mapito tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kazi anayo hayo Maagano 50 kulala na Wanawake ndo Maana akija kizaa watoto qanaweza kurithi tabia ovu au akazaa mabinti baadae malipo ni hapa hapa Duniani watoto qakawa single Mother, Malipo asisahau aiombei mabaya ila hayo ni matokeo ya dhambi.Kwa wanaojielewa na kujiheshimu ni bado sana. Ila kwa wanaohisi kubadilisha wanawake ni fashion ni jambo la kawaida. Pole sana kijana.
pujo
Mimi Dem wangu nilimkuta ok Yani mpya mtoto wa kitanga nikakwambia Mama nakuoa nikamuuliza mahar akasema laki nne lakini kwa sababu ya alivyo kua nikakwambia takupa m1na lak5
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi bwana sivutiwi na wanawake ambao ni bikira ... Huwa wanasumbua Sana aisee .... Wakati wa kumtoa bikira vurugu tupu kama wacheza sumo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunakutana na miguberiSijawai kuwa siriaz na mwanamke ambae sijambikiri, bikra zipo bnafsi kuna raha ya kuitoa ile kitu ila usihuzunike sana kama hujawai kutana na ambae hajawai mengine n mapito tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sisi tunakutana na miguberi
Mjomba kama unatafuta mabamedi huwezi hata ugonge 1000Hauko pekeako, Nimeshagonga madem zaid ya 100, na sijawahi kuta bikra