Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
tena cha mwendokasiNani alilie kibamia?
Yerewiiiitena cha mwendokasi
Unatumia kinywaji gan mumNimekupenda naomba nikulilie
Mzee tunatofautiana ktk majukumu,mi kaz yangu ni ulinziMe Nawaza How Can Generate More Money We Unawaza Jinsi Ya Kuliliwa ? Hii Ndo Tz
Atakuwa mwanaume was Dar huyu mkuu[emoji3]Dume linawaza kuliliwa hilo. Duu kazi kwelikweli, hiki kizazi chetu hiki kweli cha digitally
Miss chagga,karibu sana huenda ukawa mtu wa kwanza kunidondoshea chozihawana cha kupoteza ndiyo maana hawalii
Nitakoma, hata mimi nimeshaanza kuwawaza wewe na akina Jovitha kwa mpigo!![emoji53][emoji53][emoji53]Matipwatipwa wengine tuna roho za chuma!!! [emoji23][emoji23][emoji23] ukitoa kibuti ndo kwanza tunanunua soda na kurelax