Sijawahi kuliliwa na mwanamke, huu ni mkosi au?

Utakuwa wale wanaowapagawisha wadada kwa madawa.
 
Kwa kweli unamkosi, nenda kasafishe kwa shekhe kipoozeo
 
Wanawake Wa sikuhizi hatulii ovyo.
Mmh unaweza jikuta unalia baadae ujiulize nililia nini? Miezi kadhaaa iliyopita nilikuwa namsindikiza mpz airport nililia balaa hadi ndege ikamuacha. Ila sio mm nilisabsbisha kuchelewa ni yeye mwenyewe na ndugu zake na stori zisizoisha. Cha kushangaza tunarudi home alisema eti wee nae umelia hadi ndege ikaniacha loh nilimshangaa sana ajicheleweshe mwenyewe ndani hataki kutoka ndani nilaumiwe mm? Ahaa aliisoma no.
 
Mimi napenda hali kama yako wewe unaikataa, mimi huwa napenda nikimwacha mwanamke asiumie mimi Ndio huwa najisikia vizuri
 
Hahaa ila huyu anazungumzia wanaolialia baada ya kuachwa
 
ndugu yangu sio kitu kizuri kuliliwa na mwanamke wala usije ukaombea hasa ukimuacha kwa visa tu,,...mikosi itakuandama..
 
"....kwa sababu kama ni pesa zimenitoka sana, mwisho mimi ndiye nakuwa mzee wa kuwapigia magoti kuokoa manowari isizame"

Hahahaha wanakuchuna sana ndio maana hawajutii hata ukiwaacha pesa wameshapata za kutosha..!! Sasa unategemea demu aliye kimaslahi zaidi atakulilia, ukizingua si anaenda kwa mwingine mwenye mpunga mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…