Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa wale wanaowapagawisha wadada kwa madawa.Suala la kuliliwa nalishuhudia kwa wenzangu tu, umri sasa unanigongea hodi lakini mpaka sasa sijabahitika kukutana na mtoto shombeshombe au tipwatipwa aliyejaribu walau kutoa leso yake na kufuta malengelenge ya machozi kwenye macho yake kwa kitendo cha kumwacha. Huu si mkosi kweli?
Nifanyeje wandugu, kwa sababu kama ni pesa zimenitoka sana, mwisho mimi ndiye nakuwa mzee wa kuwapigia magoti kuokoa manowari isizame.
Huyu mtu ana hatari hadi huku kapita??tena cha mwendokasi
Natumia m pesa switiUnatumia kinywaji gan mum
Mmh unaweza jikuta unalia baadae ujiulize nililia nini? Miezi kadhaaa iliyopita nilikuwa namsindikiza mpz airport nililia balaa hadi ndege ikamuacha. Ila sio mm nilisabsbisha kuchelewa ni yeye mwenyewe na ndugu zake na stori zisizoisha. Cha kushangaza tunarudi home alisema eti wee nae umelia hadi ndege ikaniacha loh nilimshangaa sana ajicheleweshe mwenyewe ndani hataki kutoka ndani nilaumiwe mm? Ahaa aliisoma no.Wanawake Wa sikuhizi hatulii ovyo.
Swiiti wa mfuko wangu,jamani bado za makinikia hatujalipwa nitakupoza mumNatumia m pesa switi
Alafu wewe shika adabu yako..Nikuuzie mmoja anaitwa Agata?
Nitafute
Hahaa ila huyu anazungumzia wanaolialia baada ya kuachwaMmh unaweza jikuta unalia baadae ujiulize nililia nini? Miezi kadhaaa iliyopita nilikuwa namsindikiza mpz airport nililia balaa hadi ndege ikamuacha. Ila sio mm nilisabsbisha kuchelewa ni yeye mwenyewe na ndugu zake na stori zisizoisha. Cha kushangaza tunarudi home alisema eti wee nae umelia hadi ndege ikaniacha loh nilimshangaa sana ajicheleweshe mwenyewe ndani hataki kutoka ndani nilaumiwe mm? Ahaa aliisoma no.
Jifanye amnazo tu
Nani alilie kibamia?
ndugu yangu sio kitu kizuri kuliliwa na mwanamke wala usije ukaombea hasa ukimuacha kwa visa tu,,...mikosi itakuandama..Suala la kuliliwa nalishuhudia kwa wenzangu tu, umri sasa unanigongea hodi lakini mpaka sasa sijabahitika kukutana na mtoto shombeshombe au tipwatipwa aliyejaribu walau kutoa leso yake na kufuta malengelenge ya machozi kwenye macho yake kwa kitendo cha kumwacha. Huu si mkosi kweli?
Nifanyeje wandugu, kwa sababu kama ni pesa zimenitoka sana, mwisho mimi ndiye nakuwa mzee wa kuwapigia magoti kuokoa manowari isizame.
Nani alilie kibamia?
Kulia ni kulia tuuHahaa ila huyu anazungumzia wanaolialia baada ya kuachwa
Wewe ni mmoja katibya watu ninaowaheshim hapa Jf afu tena wewe ni ndugu yangu ujue.Jifanye amnazo tu