The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Hapa bongo kuna kila aina ya vituko moja ya kituko kinacho niacha hoi ni huu utaratibu wa viongozi wa kitaifa eti kuifanya wanahamasisha michezo wakati ukweli ni kwamba wanajijenga zaidi kisiasa kuliko kuinua hiyo michezo yenyewe.
Badala ya kukaa na kuumiza kichwa ni vipi tunakuza vipaji ni vipi tutatengeneza miundombinu ya michezo katika kila mtaa ni vipi tutadhibiti uvamizi kwenye maeneo ya wazi ili maeneo ya kuchezea wanamichezo ya kitanzania yawe huru badala yake zinakuja cheap politics.
Haya mambo huwezi kuyasikia kwa wenzetu ambako watu wako serias na maisha.
Eti ukute waziri mkuu wa uingereza au ujerumani anahangaika kununua magoli ya buyen.
Kwa mwendo huu tutachalewa sana.