The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Wabunge wa Kitengo hao.Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
View attachment 3143910
Kama hujawahi kumsikia Oran Njeza Mbunge wa Mbeya Vijijini basi wewe huna radio wala TV.Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
View attachment 3143910
Angalia maendeleo aliyofanya jimboni kama yapo, maswali au hoja vinakusaidia nini?Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
View attachment 3143910
huenda anakua amemalizana na mawaziri wa sekta husika, kulingana na changamoto na mahitaji ya jimbo lake,Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
View attachment 3143910
Mnakula mlichopanda,na cha ajabu uchaguzi ujao mtampa mitano tena......Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
View attachment 3143910
Bado unasikiliza bunge?!Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
View attachment 3143910
Aulize nini?Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
View attachment 3143910
hakuna loloteMambo aliyowaahidi ametekeleza au ametelekeza?
hakuna alilofanyaAngalia maendeleo aliyofanya jimboni kama yapo, maswali au hoja vinakusaidia nini?
mbunge wa mbeya mjini anahusikaje mbeya vijijiniAulize nini?
Wakati kila kitu kinafanywa na mbunge wa mbeya mjini.
Kazi yake KULA KURA ZENU!Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
View attachment 3143910
Hapa una haki ya kuhoji.hakuna lolote