The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
Soma: Kwanini Mbunge Job Ndugai huwa hachangii chochote bungeni?
wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.
Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?
Soma: Kwanini Mbunge Job Ndugai huwa hachangii chochote bungeni?