Pre GE2025 Sijawahi kumsikia Mbunge wa jimbo langu Orani Manase Njenza, wa Mbeya vijijini akiuliza swali hata kuchangia hoja Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.

wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.

Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?

images.jpeg

Soma: Kwanini Mbunge Job Ndugai huwa hachangii chochote bungeni?
 
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.

wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.

Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?

View attachment 3143910
Wabunge wa Kitengo hao.
Mkimnyima kura wanapangiwa teuzi za kufidia
 
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.

wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.

Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?

View attachment 3143910
Kama hujawahi kumsikia Oran Njeza Mbunge wa Mbeya Vijijini basi wewe huna radio wala TV.

Nitakuletea chanzo baadaye kinachoonyesha kuwa Mbunge Njeza ni kati ya wabunge 10 wanaoongiza kuchangia hoja bungeni

Kama unataka kugombea jimbo la Mbeya Vijjini njoo na mkakati mpya. Ila hiyo ya kumchafua umefeli
 
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.

wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.

Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?

View attachment 3143910
Angalia maendeleo aliyofanya jimboni kama yapo, maswali au hoja vinakusaidia nini?
 
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.

wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.

Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?

View attachment 3143910
huenda anakua amemalizana na mawaziri wa sekta husika, kulingana na changamoto na mahitaji ya jimbo lake,
na kwahivyo hana haja ya kuuliza swali wala kuchangia hoja yoyote hali ya kua vitendo vinaongea jimboni kwake na wananchi wanafurahia 🐒
 
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.

wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.

Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?

View attachment 3143910
Mnakula mlichopanda,na cha ajabu uchaguzi ujao mtampa mitano tena......
 
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.

wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.

Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?

View attachment 3143910
Bado unasikiliza bunge?!
 
Aulize nini?
Wakati kila kitu kinafanywa na mbunge wa mbeya mjini.
 
Huyu mbunge Orani Manase Njenza yupo bungeni tangu 2015 mpaka sasa na sijawahi kumsikia akizungumza bungeni, iwe kuuliza swali au kuchangia hoja licha ya jimbo lake kuwa na mzigo wa kero.

wabunge wa aina hii hawatufai hawana msaada kwa wananchi.

Mdau vipi wewe mbunge wa jimbo lako anakuwakilisha ipasavyo?

View attachment 3143910
Kazi yake KULA KURA ZENU!
Na bado MNAMPA KULA/KURA?!
Uzuzu kabisa kabisa 🤬 🤬 🤬
 
Back
Top Bottom