Sijawahi kununua saa inayozidi Tsh elfu 3. Mnaonunua za laki mbili zinakuwa na nini cha zaidi?

Sijawahi kununua saa inayozidi Tsh elfu 3. Mnaonunua za laki mbili zinakuwa na nini cha zaidi?

Nilishangaa siku nilipouziwa mswaki 1500 huko mlima mrefu, wakati nishazoea kununua ya sh 300.
Halafu mswaki ulikua ule ule.
 
Ni jambo la kawaida kununua kitu cha gharama wakati cha bei rahisi unakipata. Ndiyo maana ukila ugali dagaa unashiba na ukila piza unashiba
 
Back
Top Bottom