Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Ushamba ni nini?Sioni umuhimu wa kununua saa ya mkononi kwa maisha ya sasa ambapo hata mtoto mdogo ana uwezo wa kumiliki simu na hakuna simu iliyo kosa saa.
Saa ungeniambia wavae wanafunzi ambao shuleni hawaruhusiwi kwenda na simu sawa lakini unakuta mtu ana simu huku amevaa saa tena ya nini.
Siku hizi kuvaa saa naona ni ushamba na saa za mikononi siku hizi zimebaki kama fashion tu, mimi kwa mtazamo wangu naona ni ushamba na sipendi kuzitumia.