Sijawahi kununua saa inayozidi Tsh elfu 3. Mnaonunua za laki mbili zinakuwa na nini cha zaidi?

Sijawahi kununua saa inayozidi Tsh elfu 3. Mnaonunua za laki mbili zinakuwa na nini cha zaidi?

Sijawahi kuvaa saa ya bei ila navaa ki Casio cha laki [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

ᴮʸ cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᵈ
 
Humkuti Bill Gates wala Jeff Bozzes akiwa amevaa hizo Rolex
Hivi ni kwa nini Mkuu?
Wenyewe wana msemo wao kwamba ' rich people continue to be rich by living as if they are broke '
 
Siku hizi umuhimu wa saa ni zaidi ya kuangalia muda...kuna saa maalumu kwa kupima afya mfano Mapigo ya moyo....kuna saa kwa ajri kufanyia mazoezi....kuna saa kwa ajiri ya usalama zina GPS..zina kamera...zina rekodi...na unaweza ukazi-link na simu za watu wako wa karibu na ukawa salama kabisa muda wote..kuna saa zinapima hali ya hewa kama mvua...joto. ..kutoka kwa jua na kuzama.
 
Back
Top Bottom