Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Ushamba ni nini?Sioni umuhimu wa kununua saa ya mkononi kwa maisha ya sasa ambapo hata mtoto mdogo ana uwezo wa kumiliki simu na hakuna simu iliyo kosa saa.
Saa ungeniambia wavae wanafunzi ambao shuleni hawaruhusiwi kwenda na simu sawa lakini unakuta mtu ana simu huku amevaa saa tena ya nini.
Siku hizi kuvaa saa naona ni ushamba na saa za mikononi siku hizi zimebaki kama fashion tu, mimi kwa mtazamo wangu naona ni ushamba na sipendi kuzitumia.
Unaniuliza mimi tena badala ya kwenda kutafuta kamusi ukaangalie,Ushamba ni nini....?
Nimesema, the last time nilipo nunua saa.. Ni miaka mingi kidogo imepita.Saa gani ya buku 3? π€·πΎββοΈ
Na kwa kuongezea, symbol, status, power, prestige. Hivi mtu anamiliki V8 landcruicer na wewe uan Toyota Camry, unajifariji mpo sawa hapa mjini πππWatches is all about Quality, history and story behind it, The Rolex Pearlmaster costs 90,000 USD, its more than just a watch, its a heritage.love it
Ni kweli ukisemacho. Ila kiuhalisia kila mmoja anatamani ale Pizza, lakini tatizo si kila mtu anaweza.Ni jambo la kawaida kununua kitu cha gharama wakati cha bei rahisi unakipata. Ndiyo maana ukila ugali dagaa unashiba na ukila piza unashiba
Huo ubaya wa umaskini unamtesa sana Rais wetu wa hapa Malawi
What happens to be yours sweet ?Kila mtu ana kitu chake chenye roho inapenda ku splash out lots of money on
Sent using Jamii Forums mobile app