Nataka maana unayoijua weweUnaniuliza mimi tena badala ya kwenda kutafuta kamusi ukaangalie,
Humkuti billget wala jeff bozzes akiwa amevaa hizo rolex
Ameamua kuishi ivyoHaaaahaaaaaaaa kwamba hata huko ulaya Wanaisoma namba
Ameamua kuishi ivyo
Not me diasporausa ?
Hivi ni kwa nini Mkuu?Humkuti Bill Gates wala Jeff Bozzes akiwa amevaa hizo Rolex
Nilishangaa siku nilipouziwa mswaki 1500 huko mlima mrefu, wakati nishazoea kununua ya sh 300.
Halafu mswaki ulikua ule ule.