Sijawahi kununua saa inayozidi Tsh elfu 3. Mnaonunua za laki mbili zinakuwa na nini cha zaidi?

Alaf kuna watu tunapenda saa za thaman kama wanaopenda cheni za madini.
 

Attachments

  • 20200120_100100.jpg
    79.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20191130-172035_Samsung Internet.jpg
    100.3 KB · Views: 5
Ninatumia Swatch ni mwaka wa sita sasa huu haijawai kubadilika rangi au kufunguliwa na fundi, dukan inaanzia laki mbili na nusu. Hakuna cha zaida zaidi ya uimara na simple style. Na ata mtu akiiona hajui kama ni ya bei labda wafuatiliaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…