Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wasalaam JF,
Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts.
Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru.
Sekretariati imejaa watu ambao hawana mvuto wala makeke na haina akina chimakeke kwenye majukwaa haina machachari wa facts na data.
CCM itaangukia mikononi mwa Wazanzibar.
Tutaendelea kusema mpaka mjivue gamba kwa awamu ingine.
Ni hayo tu
Wadiz ndio mimi