Utelembwe Kama utelembwe kwenye ubora waooAma kweli hawa ni mikia
Tangu uzaliwe leo umetoa comment iliyoshiba OKW BOBAN SUNZUBaada ya Yanga kuchukua Mapinduzi , Simba ikaona ni bora nayo ichukue kombe hata la mbao ili kuwafurahisha mashabiki wake
Hawana hela izo hundi ni mauongo uongo tu.Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?
Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.
Simba Super Cup: BINGWA (Simba)
Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)
Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)
Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)
Mchezaji bora mechi ya Fainali: Luis Miquissone (Simba)
AMA KWELI SISI SIMBA NI COMEDY
Ungetumia akili kidogo tu na kuacha kufikiri kama chura ungefahamu yafuatayo:Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?