Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

Sijawahi kuona kichekesho kama hiki cha Simba SC

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?

Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.

Simba Super Cup: BINGWA (Simba)

Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)

Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)

Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)

Mchezaji bora mechi ya Fainali: Luis Miquissone (Simba)

AMA KWELI SISI SIMBA NI COMEDY
 
IMG_4536.jpg
 
Hawana hela izo hundi ni mauongo uongo tu.
 
Naanza kuamini Yale Maneno ya kaocha aliefukuzwa kwa kutoa Maneno yasiyo na staha kwa mashabiki wa Yanga.

Hivi hamjui haya mashindano lengo lake ni kuwapa wachezaji Match Fitness? Na kuwaongezea wachezaji kujiamini kwenye mechi zijazo?

Tuache ujinga wa kifikra na kuzodoa kila jambo jema na lakimkakati linalofanywa na simba.

Kataeni basi na ushiriki wa timu 4 tutakazo zipata simba ikifanya vizuri. Nyau nyie.
 
Ushawahi kujitekenya mwenyewe mbele ya umati?

Yaani sijawahi kuona futuhi na comedy nzito kama hii walahi.

Simba Super Cup: BINGWA (Simba)

Mchezaji Bora wa Mashindano: Rally Bwalya (Simba)

Golikipa Bora: Beno Kakolanya (Simba)

Mfungaji Bora: Bernard Morrison (Simba)

Mchezaji bora mechi ya Fainali: Luis Miquissone (Simba)

AMA KWELI SISI SIMBA NI COMEDY
Ungetumia akili kidogo tu na kuacha kufikiri kama chura ungefahamu yafuatayo:
1.Mfungaji bora ni yule mwenye magoli mengi kupita wote. Ni namba si mere opinions
2. Golikipa bora ni kipa aliyeruhusu goli chache zaidi na ambaye amecheza mechi nyingi zaidi. Nazo ni namba si maoni hewa.
3. Mchezaji bora hutokana na timu bora iliyoshinda ama kuwa na matokeo chanya.
 
Back
Top Bottom