Salamu,
Hiki kipaji inaonekana Mungu hajawapa hawa akina Hawa, naona labda kwa wenzetu wazungu. Hata kwa wazungu sijaona, hapa bongo nawaona tu kina joti na wenzake kina mpoki na Masanja.
Hebu wamama jitokezeni kidogo tuwaone kwenye hii fani ya kuongeza siku. Naona comredi Joti ameamua kuchukua nafasi yenu na anafanya vizuri na anapiga pesa ninyi mmekaa tu mnamtolea macho, joti anapiga hela.
Inawezekana labda ni fani ngumu sana kwenu jaribuni hata kidogo basi.