Sijawahi kuona Mchekeshaji wa kike

Sijawahi kuona Mchekeshaji wa kike

Joti matata Sana aliwahi hadi kuwabadili watoto miondoko ile ya kushtukiza.
 
Mboto hakua serious uyu jamaa,aliachia ushuuzi sebuleni akajua anamfanyia surprise mke wake,kufumbia macho na mama mkwe yupo sebuleni,ilikua aibu kali

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mboto hakua serious uyu jamaa,aliachia ushuuzi sebuleni akajua anamfanyia surprise mke wake,kufumbia macho na mama mkwe yupo sebuleni,ilikua aibu kali
Kuna sehemu ilifikia wakawa hawaongei ni mwendo wa kuandikiana vimeseji tu sijui ilitokea balaa gani badae nimesahau🙆
 
Pili wa kitimtim, pia katika watu baki kuna mdada pia
 
Pili wa kitimtim, pia katika watu baki kuna mdada pia
Kuna bwana mmoja mtatala ktk hii filamu ya kitimtim alipambana na mzee Jangala sijui anaitwa nani yule ni bonge hivi bwana we Vita yake ilikuwa kubwa mbona.
 
Back
Top Bottom