Sijawahi kuona Mchekeshaji wa kike

[emoji28] Yeees “kiwewee na matumaini” hii duo ilikuwa ya nzurii sanaa, aliendaga wapi yule dada, nasikia aliumwa sanaa.

Sijui hata alipotelea wapi, yeah! Nilisikia pia kuumwa kwake.
 
Kwenye vichekesho vya akina Martin walikuwepo akina Queen Latifa. Wanawake huwa wapo kwenye vichekesho vya makundi
 
Mwanadamu aloumbwa na Mungu ni mmoja tu Adam,halafu Mungu akazalisha copy ya adamu ili aendeleze kizazi,note that Kama ulikuwa hujui hilo🤣so ni adamu anajizaa,kaberecteated akawa mwanamke/Hawa.
Umeongea deep sana.!!
 
Mboto hakua serious uyu jamaa,aliachia ushuuzi sebuleni akajua anamfanyia surprise mke wake,kufumbia macho na mama mkwe yupo sebuleni,ilikua aibu kali
Mama mkwe alibaki kanuna tu.🙆🙆
 
Kama kajiweka njema sio mbayaa, kwa sanaa ya sasa hatoiweza, astick na mambo mengine tu now.
Kuna wengine huwa wanaamua kusepa fani mambo ya mitishamba nayo huwa yayanahusika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…