Sijawahi kuona Mtangazaji mwenye Miguu mizuri na iliyopangika vyema Kiurembo kama Jackline Silemu wa ITV. Hongera zake!

Una matatizo makubwa ya macho, i can call that "CATARACTS" Personally sijaona mguu wa kusifiwa kiasi cha kuanzisha uzi humu labda kama we ni mpenzi wa miguu kama miwa au mpini wa jembe.
You can tell it from this picture here kwamba mguu upoje.
 
Aione
-mkurugenzi wa kituo cha Habari ITV
-mkurugenzi wa makampuni ya IPP & MEDIA
 
Katika watu wanaoandika pumba wewe unaongoza,utakuta Ni jitu zima lina watoto,ila kutwa kukesha kuandika upuuzi jf

Sent using Jamii Forums mobile app

Cha kusikitisha zaidi na kuonyesha kwamba ' Shahawa ' za Baba yako zilizomuingia Mama yako hadi ukapatikana Wewe na Kuzaliwa hivi zilikuwa na ' Funza ' wengi na ' Makohozi ' mengi bado unaendelea Kumfuatilia huyo huyo Muandika ' Pumba ' hapa Jamvini. Ninapoanzisha ' Threads ' hapa JF huwa nawalazimisheni muwe mnazifungua na kuzisoma? Mnanichukia halafu hapo hapo bado mnanifuatilia na kunisoma hivi nikiwaiteni nyie ni ' Mafulu Ngenge ' wakubwa nitakuwa nakosea? Hii ni ' Dozi ' yangu ya awali Kwako nasubiri urudi tena nimalize Kazi rasmi.
 
Pongezi wapewe akina wazaa chema siyo yeye. Yeye ni product.
 

Mkuu naona unataka kuingilia mchepuko wangu wa siku nyingi. Tusije paruana buree
 

Ninachojua tu na nina uhakika nacho ni kwamba ' Sindano ' yangu ya ' Dozi ' niliyokupa imeshakuingia tena kisawasawa kabisa. Siku zingine uwe unakuwa makini na hii ' ID ' au ukae nayo mbali kwani yenyewe huwa haiwacheleweshi ' Wapumbavu ' kama Wewe na nitawanyoosheni hadi mnyoosheke.
 
Huwa tunaanza na uso kwanza. Ukoje uso wake?
 
Weka picha nione kama kanizidi mm😁😁😁😁😁😁😁
 
Una sifiasifia tu. Suzan Mongi anaongoza
 
Evidence please!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…