Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika watu wanaoandika pumba wewe unaongoza,utakuta Ni jitu zima lina watoto,ila kutwa kukesha kuandika upuuzi jf
Sent using Jamii Forums mobile app
Pongezi wapewe akina wazaa chema siyo yeye. Yeye ni product.Kodolea ITV ' Mubashara ' sasa hivi au vizia tu Siku zingine akiwa ndiyo Msoma taarifa ya Habari ITV kisha kabla hajakaa pale Kitini angalia Miguu yake iliyo mizuri sana na inavutia tofauti na Wanawake wengine wote pale ITV na hata huku Uraiani tulipo.
Huu Mtindo uliobuniwa na Kituo cha Runinga cha ITV cha Kuwaonyesha Watangazaji Wao ( wale Wasoma Taarifa za Habari ) mwili mzima umetufanya Sisi Watazamaji Wao ' tukuka ' tuweze kuona jinsi Mwenyezi Mungu alivyopatia Kuwaumba.
Ila hadi hivi sasa kama kuna Mtangazaji mwenye Miguu mizuri nadhani Kushinda Watangazaji wote wa Habari ITV ni huyu Jackline Silemu ambaye kwakweli ana Miguu siyo ya nchi hii na ni mizuri hadi nashindwa hata kuzidi Kuizungumzia.
Hongera zake sana na mno!
Nawasilisha.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787],hapa ndo unathibisha kwamba network hazishiki,upo darasa la ngapi??? Kama wewe una miaka 20+ aisee mzazi wako amekula hasara Bora angezaa shoga au angetumia condom shahawa akazitupe chooni, you're very Foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa tahira Sana,dose gani kwa mfano nimeishia kucheka na kusikitika tu jinsi upeo wako ulivyo mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Evidence please!Huu Mtindo uliobuniwa na Kituo cha Runinga cha ITV cha Kuwaonyesha Watangazaji Wao ( wale Wasoma Taarifa za Habari ) mwili mzima umetufanya Sisi Watazamaji Wao ' tukuka ' tuweze kuona jinsi Mwenyezi Mungu alivyopatia Kuwaumba.
Ila hadi hivi sasa kama kuna Mtangazaji mwenye Miguu mizuri nadhani Kushinda Watangazaji wote wa Habari ITV ni huyu Jackline Silemu ambaye kwakweli ana Miguu siyo ya nchi hii na ni mizuri hadi nashindwa hata kuzidi Kuizungumzia.
Hongera zake sana na mno!
Nawasilisha.