Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Wanawake wanapenda sana kifo Cha mende kuliko style zingine. Imagine Mwanamke ana kitambi, mwanaume nae ana kitambi, kifo Cha mende kitafanyika vipi?.Shalom,
Fuatilia kichwa cha habari ndivyo ilivyo uzoefu wangu ana wanaume wanyanduaji wengi wao hawanaga vitambi. Na wengi wao afya mgogoro.
Karibu kwa mjadala na uthibitisho
Ni hayo tu
Wadiz
Kwakweli em atuelezeUmejuaje mkuu?
Taarifa hizo umezipata wapi au kila wakitoka kunyandua wanasema?
Tungoje majibu. Kuna namna wanataka kutuchafua sisi vibonge nyanya na vitambi noma.Kwakweli em atueleze
Akati vibonge kwa show ndio wenyewe, me nawakubali sana kuliko vimbau mbauTungoje majibu. Kuna namna wanataka kutuchafua sisi vibonge nyanya na vitambi noma.
Acha atuchafue si wapole hatuna manenoAkati vibonge kwa show ndio wenyewe, me nawakubali sana kuliko vimbau mbau
Salamu ya amani, hata unaponyanduana Mungu haendi likizo kukuhusu weweUnatanguliza na Shalom kwenye vitu vya ajabuajabu.
Kwanza atujibu kajuaje??Acha atuchafue si wapole hatuna maneno
Ni ukweli ebu fuatilia utapata ukweliUmejuaje mkuu?
Taarifa hizo umezipata wapi au kila wakitoka kunyandua wanasema?
Sasa nafuatiliaje mkuu na hayo ni mambo personal ya faragha?Ni ukweli ebu fuatilia utapata ukweli
Wadiz kuna swali tata lijibu.Kwanza atujibu kajuaje??
Wanyanduaji kwa takwimu na macho ya kitaaSasa nafuatiliaje mkuu na hayo ni mambo personal ya faragha?
Mada yako ina ukakasi kwenye data.Hilo hapana nayeya tu
Nachojua mambo ya faragha ni siri sana, tunavyojiachia huku jf kuhusu kunyanduana sio sawa na huko mitaani. Kwahiyo ni ngumu sana kuthibitisha hilo.Wanyanduaji kwa takwimu na macho ya kitaa
Ni kweli, ngono iliopitiliza inakondesha mwili. Mimi ni muhanga.Shalom,
Fuatilia kichwa cha habari ndivyo ilivyo uzoefu wangu ana wanaume wanyanduaji wengi wao hawanaga vitambi. Na wengi wao afya mgogoro.
Karibu kwa mjadala na uthibitisho
Ni hayo tu
Wadiz
Couple inahitaji mwenye kitambi mmoja na flat tummy mmoja😉Wanawake wanapenda sana kifo Cha mende kuliko style zingine. Imagine Mwanamke ana kitambi, mwanaume nae ana kitambi, kifo Cha mende kitafanyika vipi?.
Hiyo ndio sababu wanawake toka moyoni hawapendi wanaume wanene. Na sio kwamba wanaume wanene hawapendi shoo.