Sijawahi kuona tajiri ameanguka kwa mapepo kanisani

Sijawahi kuona tajiri ameanguka kwa mapepo kanisani

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Siijawahi kuona tajiri akiangushwa na mapepo kanisani ila masikini na wenye viator vya kati sasa 😂 😂 😂
Automatically ukiwa masikini
unamapepo 😂

Vipi mdau umeshawahi ona tajiri anaangushwa na mapepo?
 
Tafuta Pesa kijana........

Hivi hata matajiri wanakesha huko kwa wanaojiitq mitume na manabii? Naonaga wanaojaa ni wale hohe hahe, hana mbele wala nyuma amejikatia tamaa ya maisha....anaenda kujipa faraja.... alafu pia vipato vya kati pia wanajazana huko.....

Mtu ana mishe zake busy 24/7 huwez mkuta anakesha kwa mwamposa !!!

Mbaya zaidi hao wanaokesha huko, hata kile kidogo walichonacho wanapunwa chote...huzuni
 
So tajiri Aende Kwa wachungaji kufuata Nini wakati Ukwasi Tayari Anao !? 🤣🤣

Wanaokwenda huko wengi wana thamani kuwa matajiri na hawajui njia za kuupata so wanaamua kwenda kufarijika Kwa maombi they believe wakiombewa utajiri utakuja wakati wao wanaombewa ili wapate utajiri , Tajiri Tayari utajiri Anao

Haya utasema wana kwenda kuombewa kwaajili ya kutatua matatizo Yao ya kiafya , Tajiri Kwa kuwa ameshakuwa tajiri Tayari anapesa za kutosha so ana access ya kwenda kutibiwa popote kule duniani na kupatiwa huduma za afya Bora cause pesa anazo so Aende kuombewa ili aongeze Nini !?


Matajiri wengi ukiwaona wanaenda kanisani au misikitini wanakwenda Kwa agenda zao za kupush reputation attention na milage Katika Jamii au Taifa husika ,

Ni kama unavyo muona Raisi anapo kwenda Kwa mwamposa au anapo kwenda kusali msikitini bakwata lengo sio kwenda kusali , Bali lengo ni kwenda kujiongezea audience ya waumini wa Hilo dhehebu ili aonekane kwamba yupo karibu na wananchi wake na Jamii yake Kwa ujumla and the likes 📌
 
Wataangukaje wakati wao wenyewe ni pepo? Ni maajenti wa mapepo wale!
 
Kila mahali kuna VIP treatment, wale wanaangukia maofisini huko, wakija pale mbele wameshapona kabisa

Kwa TB Joshua walikuwa wanaenda hadi maraisi ila huoni wakiombewa pale hadharani labda kuwabariki tu na unabii.
 
Siijawahi kuona tajiri akiangushwa na mapepo kanisani ila masikini na wenye viator vya kati sasa 😂 😂 😂
Automatically ukiwa masikini
unamapepo 😂

Vipi mdau umeshawahi ona tajiri anaangushwa na mapepo?
Utaangukaje ukiwa na pesa ndugu yangu. Pesa ni sabuni ya roho. Maskini tu ndiyo wenye shida ya kuanguka na kupepesuka.
 
Kwanza mapepo hayapo.

Hao wanojidai kupandwa na mapepo ni waigizaji tu, hawana lolote.

Ukitaka kujua ni waigizaji, ipigwe risasi moja juu katikati ya ibada ya maombi na maombezi uone jinsi kila mtu atachanja mbuga.
 
Kwanza mapepo hayapo.

Hao wanojidai kupandwa na mapepo ni waigizaji tu, hawana lolote.

Ukitaka kujua ni waigizaji, ipigwe risasi moja juu katikati ya ibada ya maombi na maombezi uone jinsi kila mtu atachanja mbuga.
Hahahaaa, aya bhan !
 
Umaskini au utajiri hauhusiani na hiyo hali, ni issue ya perception na mazingira tu.
 
Back
Top Bottom