Sijawahi kuona timu inafanyiwa maombi ili ifuzu World Cup

Sijawahi kuona timu inafanyiwa maombi ili ifuzu World Cup

Ni Tanzania pekee timu inafanyiwa maombi ili ifuzu World Cup, sijawahi ina na haingii akilini!! TFF achaneni na huo ujuha mtakuja kujuta...
Leta ushahidi kanisa au msikiti gani hayo maombi yamefanyika
 
Sijui kama kuna maombi na kama yapo itakuwa ni yaleyale ya kutegemea miujiza. Na Mungu wa haki hawezi bariki hilo.

Maana alisha pitisha uamuzi kuwa tutakula kwa jasho. Sasa jiulize je tumetoa jasho kuliko wengine kwa kiasi gani?

Ingekuwa maombi ya msaada wa kutambua njia sahihi nini tufanye labda.
 
kuna watu wanafny miujiza kila kukicha huko makanisani, TFF ipeleke timu huko ikapokee muujiza wake wa kwenda qatar
 
Ni Tanzania pekee timu inafanyiwa maombi ili ifuzu World Cup, sijawahi ina na haingii akilini!! TFF achaneni na huo ujuha mtakuja kujuta...
Siku hizi kuomba Mungu ni ujuha? Au baada ya maombi wameambiwa waende wakakae tu magoli yataingia yenyewe?
 
Kuna mfalme mmoja hapo zamani za kale katika himaya fulani, kila mara alikuwa anasisitiza wananchi wamuombee Mungu amlinde.

Hakumaliza miaka 10 akafa!!
we muongo, mungu amlinde dhidi ya nini?
 
Waipeleke hadi Bagamoyo, Zanzibar, Kilwa, Pangani bila kusahau Sumbawanga
 
Zaire walienda mpaka na waganga huko world cup.. sikumbuki ni michuano gani kama sikosei madrid walienda kumtembelea papa.

Shida sio maombi, shida ni maombi bila mipango, jisaidie nae akusaidie.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom