Sijawahi kuona timu inayomilikiwa na mhindi inapata mafanikio, Mo ataendelea kuwatesa

Sijawahi kuona timu inayomilikiwa na mhindi inapata mafanikio, Mo ataendelea kuwatesa

Mtanzanias

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2021
Posts
1,747
Reaction score
3,725
Sina kumbukumbu nzuri ya kujua ni wapi na nchi gani ambayo kuna timu inamilikiwa na mhindi na timu iyo ikapata mafanikio, labda wanaojua watuambie hapa, Wahindi wanajulikana ni wabahili kwenye suala zima la kutoa pesa yao.

wanapenda sana vitu vya kitonga, vitu vya bei rahisi rahisi ili wapate faida kubwa, lakini kwenye mpira icho ni kitu kigumu sana nitofauti na biashara nyingine, Mpira unahitaji uweke pesa ya maana ili ufanikiwe na sio blah blah, fuatilieni ata makampuni yao mishahara wanayowalipa wafanyakazi wao ni midogo mno ukilinganisha na kazi wanazozifanya.

Kwa maana iyo mashabiki wa simba ata wapige kelele vipi uyo bwana Mo awezi kufanya uwekezaji wa maana pale simba hasa hasa kwenye eneo la usajili wa wachezaji bali ataendelea kuwaletea kina sawadogo zaidi wa bei ya kuokota, yeye anachoangalia ni biashara zake ameingiza faida ya shingapi kupitia mgongo wa simba.

Habari za sijui matokeo ayo mtajua wenyewe uko, Propaganda zimekuwa nyingi kuliko uhalisia, kina try again wamekuwa chawa wakubwa wa mhindi wa bombay lakini vitendo ni zero ilimradi wanashibisha matumbo yao baasi
 
Huyu jamaa hana tofauti na wale matapeli wa ile hela tuma kwenye number hii
JamiiForums-768548404.jpg
 
Tulisha waambia wakatubishia.
Kwahiyo wacha wakipate cha mtema kuni.
 
Mshavurugwa hamjui mshike lipi 😂😂😂
 
Back
Top Bottom