Sijawahi kuona vijana wa Mzumbe na Ardhi wakifa njaa mtaani


Mkuu kuna ukweli ndani yake.
Mm nina ndugu yangu ni HR, anasema tatizo kubwa linalowaangusha vijana wengi ktk interview za kazi ni lugha ya kingereza, yaani hapo ni shidaaa haijarishi what GPA she/he has..
 
Mbona sisi tuliomaliza shule ya msingi pasua pale moshi wote tuna kazi nzuri..kwa mfano mimi ninamiliki mabanda ya mkaa matatu maarufu na magenge sita.
 
Mbona sisi tuliomaliza shule ya msingi pasua pale moshi wote tuna kazi nzuri..kwa mfano mimi ninamiliki mabanda ya mkaa matatu maarufu na magenge sita.

Safi sana wewe unamiliki, wao wanafurahia kufanywa " manamba".
 

akili yako haipo sawa , jina la chuo linampa mtu ajira au uwezo wa mtu?mbona kuna jamaa zang wamemamaliz hapo ppm na hawajapata kaz?

kumbuka kuna vyuo kama sua vinavyotao digrii ambazo haziko vyuo vingine na bado wako mtaani, nahisi bado mwanafunz wa chuo hujamaliza chuo bado ukimaliza utakuja kujionea mtaan hali ipoje, tunakukaribisha
 
Tembea wewe na kingine ni vidogo mno hata athari za ajira hazionekani kama vyuo vingine
 
Acha uwongo, kuna jamaa zangu wamemaliza Mzumbe wanazunguka na bahasha wanatafuta pakujishikiza wamechoka hadi huruma.
 


Umeona eeeh!mleta uzi labda aliota then kakurupuka kuleta huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…