Ndesalee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 1,092
- 520
vp waliobahatika kusoma vyuo vya nje ya tz,wanakufa njaa?.
ila msisahau,vijana wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kizungu,hata kama hawakusoma mzumbe na UDSM,ni nadra sana kukuta wanalia njaa.wengi wao wana confidence ya kuingia wao wenyewe front (bila kusubiri tangazo la kazi) ofisi ya shrika/kampuni yoyote kuomba apointment na CEO ili kueleza idea/shida zao.na huwa wanafanikiwa.nimelishudia hili kwa rafiki zangu watatu waliosomea nje ya nchi.
ni ukweli mchungu japo unauma.
Mkuu kuna ukweli ndani yake.
Mm nina ndugu yangu ni HR, anasema tatizo kubwa linalowaangusha vijana wengi ktk interview za kazi ni lugha ya kingereza, yaani hapo ni shidaaa haijarishi what GPA she/he has..