Sijawahi kuona vijana wa Mzumbe na Ardhi wakifa njaa mtaani

Sijawahi kuona vijana wa Mzumbe na Ardhi wakifa njaa mtaani

vp waliobahatika kusoma vyuo vya nje ya tz,wanakufa njaa?.

ila msisahau,vijana wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kizungu,hata kama hawakusoma mzumbe na UDSM,ni nadra sana kukuta wanalia njaa.wengi wao wana confidence ya kuingia wao wenyewe front (bila kusubiri tangazo la kazi) ofisi ya shrika/kampuni yoyote kuomba apointment na CEO ili kueleza idea/shida zao.na huwa wanafanikiwa.nimelishudia hili kwa rafiki zangu watatu waliosomea nje ya nchi.

ni ukweli mchungu japo unauma.

Mkuu kuna ukweli ndani yake.
Mm nina ndugu yangu ni HR, anasema tatizo kubwa linalowaangusha vijana wengi ktk interview za kazi ni lugha ya kingereza, yaani hapo ni shidaaa haijarishi what GPA she/he has..
 
Mbona sisi tuliomaliza shule ya msingi pasua pale moshi wote tuna kazi nzuri..kwa mfano mimi ninamiliki mabanda ya mkaa matatu maarufu na magenge sita.
 
Mbona sisi tuliomaliza shule ya msingi pasua pale moshi wote tuna kazi nzuri..kwa mfano mimi ninamiliki mabanda ya mkaa matatu maarufu na magenge sita.

Safi sana wewe unamiliki, wao wanafurahia kufanywa " manamba".
 
Shalom makamanda!

Mbali ya kuwa na changamoto za ukosefu wa ajira na kushuhudia wimbi la vijana wakizunguka na bahasha mitaani,

Lakini hali ni tofauti hasa kwa vijana waliomaliza vyuo vya Mzumbe ( Military university) na Ardhi University wakifa njaa mtaani, hii inatokana na utija wa kozi zinazotolewa kwenye vyuo hivyo pamoja na kuwaandaa vijana vizuri katika soko la ushindani wa ajira.

Kiufupi mwanafunzi yeyote anayepata Neema ya kusoma vyuo hivyo katika kozi yeyote ana haki ya kujiita mwenye bahati sana.

akili yako haipo sawa , jina la chuo linampa mtu ajira au uwezo wa mtu?mbona kuna jamaa zang wamemamaliz hapo ppm na hawajapata kaz?

kumbuka kuna vyuo kama sua vinavyotao digrii ambazo haziko vyuo vingine na bado wako mtaani, nahisi bado mwanafunz wa chuo hujamaliza chuo bado ukimaliza utakuja kujionea mtaan hali ipoje, tunakukaribisha
 
Tembea wewe na kingine ni vidogo mno hata athari za ajira hazionekani kama vyuo vingine
 
Acha uwongo, kuna jamaa zangu wamemaliza Mzumbe wanazunguka na bahasha wanatafuta pakujishikiza wamechoka hadi huruma.
 
akili yako haipo sawa ,jina la chuo linampa mtu ajira au uwezo wa mtu?mbona kuna jamaa zang wamemamaliz hapo ppm na hawajapata kaz?kumbuka kuna vyuo kama sua vinavyotao digrii ambazo haziko vyuo vingine na bado wako mtaani,nahisi bado mwanafunz wa chuo hujamaliza chuo bado ukimaliza utakuja kujionea mtaan hali ipoje, tunakukaribisha


Umeona eeeh!mleta uzi labda aliota then kakurupuka kuleta huku
 
Back
Top Bottom