Sijawahi kupendwa

Duh hatari! Eeh kweli wee kiboko hutaki ujinga. Sasa mwanawane ulishindwake kujua kuwa hakupendi kabla hamjaingiankwenye ndoa? Maana tabia watu kuficha ngumu sana au ndio ulikuwa umefumbwa macho maana hawa viumbe kwa kuloga awajambo🤣🤣🤣🤣
 
Ukitegemea furaha maishani kwa kupendwa na mtu/watu jua kuwa utakuwa mtu wa maumivu kila siku. Anza kujipenda mwenyewe.

Katika mahusiano yoyote yale iwe yakimapenzi au kifamilia au yoyote usiweke expectations maana heartbreak ndio mwisho wake.
Nani hujichukia?
Anataka kupendwa sio kujipenda elewa chaliangu
 
mzabzab wanawake ni waigizaji hataei.
Unaweza kuwa naye miaka 2 ukijua ni mchumba wako lkn akiona wewe bado unavuta muda...akijitokeza mwingine unaachwa anaenda na huyu akiyetayari kufunga ndoa haraka.

Akiingia ndani anagundua kuwa hampendi jamaa mpya isipokuwa alitaka ndoa.

Matokeo yake atabaki kugingwa na ex maisha yake yote.
 
Kumbe wanataka kutoa nuksi ya kuolewa tuu. Duh hatari!
 
Kabla utafte mtu wa kukupenda,kwanza jipende wewe kwanza
 
Nawe una matatizo..
Yaani una miaka 29 unataka i love you, good morning?
Hujui relationships zikimature priorities hubadilika?
Upendo unakuwepo ila sio lazima udanganywe ndo ujue.
Na jifunze kusoma mahusiano uliyonayo,
Kuna watu wanapenda ila hawaonyeshi. Sasa wewe ndo ufanye unachopenda kufanyiwa ili umfundishe mwenza wako.
Alafu go talk to people, nenda dates (haimaanishi Sex)
Na shusha pua hiyo wanaume wamejaa ila siku hizi hamna anaepoteza muda kwa mwanamke mwenye dharau.
 
Hao jamaa hawawezi kukaimu nafasi kimagendo ?
 

Hii hatar sanaaa na mwanamke alivomjinga anaweza mzalia ata jamaa kwenye ndoa yako
 
Tatizo wanawake wa siku hizi sijui MPOJE neno KUPENDWA limechukuliwa na KUPEWA HELA AU KUHONGWA yaani hisia zenu zimevurugwa na hela kama mmezaliwa bank na sio hospital
 
Mimi sijakuelewa kwakweli sababu taarifa zako zinakinzana. Sasa unakuwaje kwenye mahusiano na mtu for 10 years halafu muda huo huo useme haujawahi ku experience romantic relationship, it means ni mawili, aidha umekaa na mtu ambaye haeleweki for 10 years au umekuwa unajihusisha na mahusiano nje ya huyo uliyekaa nae for 10 years.

Sasa hapa tayari nimeshafeli kukuelewa maana taarifa zako zinakinzana zenyewe. Jambo lingine, wewe unatafuta mahusiano then unasema it takes 2 years kumzoea mtu, hapa inaonyesha wazi wewe ni tatizo.

Mimi ukishanionyesha dalili za kunipuuza kama mwanaume kwa namna yoyote ile sitaweza kuendelea kukufuatilia maana unaonekana unaniletea mapozi ambayo hayana umuhimu na kuna wanawake wapo kibao tayari kwa kuanzisha mahusiano mapya. Sasa miaka miwili niipoteze kwa kuhangaika na kufukuzia mwanamke na mahusiano utadhani duniani tumebakia wawili huo ni ukosefu wa akili ya maisha.

Jichunguze vema wewe ndie utakuwa ni tatizo hapo si mapenzi wala kitu gani. Kuna tabia unaweza kuwa nazo katika maisha ila sababu ya kuwa na kiburi (ego) unajiona upo sahihi na haupo tayari kubadilika halafu unabakia kujiuliza maswali ambayo ni nje ya haiba yako.



Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hiyo miaka kumi you were wasting hujakutana na marioo akucheki 24/7 I love you asubuhi mchana jioni halafu aje akupige mizinga!!
 
you did find true love yet?
 
Ooh kumbe!ila kupendwa ni kuheshimiwa na kutunzwa... sio kuambiawa tu baby umekula kama yeye anavyotaka aambiwe..
Joannah Mapenzi ni vitu vingi ila hasa ni Care, Romantic nk

Ukisema huyo msukuma yeye hana mambo ya love umeamkaje, upowapi mpenzi kwamba yeye anafanya kwa vitendo tu hakuna vutendo vyengine Kwenye mahusiano zaidi ya hivi kitu pekee utachotoa mfano wa vitendo ni yeye kukupa pesa tu (Materials Things) nipe mfano wa tendo lingi e huwezi kupata....So in real sense huyo msukuma hana mapenzi hakujari zaidi ya kutumia power yake ya pesa tu imagime akiwa Hana pesa then Nini ata offer kwako.

Mawasilano kwenye mahusiano yana nafasi kubwa na ndio vutendo vyenyewe kwenye mapenzi kutumiwa sms 'umeamkaje love' 'upowapi love' hio inaonesha CARE mpenzi wako anajari kuhusu wewe hizo sms vinafanya hata kuondoa misongo.

Malanyingi kisaikolojia ukiwa upo low/Down unamtumia sms mpenzi wako soft chatting zinakufanya uwe High kidogo.

Hayo ndio mapenzi huwezi kuniambia anakupenda kwa vitendo kwa kukutumia pesa tu na kukuuuliza umepokea hayo sio mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…