Sijawahi kupendwa

Sijawahi kupendwa

Yani ni kwamba ni kama kabaki nyumbani awaangalie watoto hakuna Cha zaidi, as she is no longer my wife pamoja na kwamba anajifanya anajutia hayo mambo lakini I told her that it is non of my business, Kama hapa mda huu nipo zangu Kigali na sitaki kuulizwa narudi lini wala nafanya nini
Duh hatari! Eeh kweli wee kiboko hutaki ujinga. Sasa mwanawane ulishindwake kujua kuwa hakupendi kabla hamjaingiankwenye ndoa? Maana tabia watu kuficha ngumu sana au ndio ulikuwa umefumbwa macho maana hawa viumbe kwa kuloga awajambo🤣🤣🤣🤣
 
Ukitegemea furaha maishani kwa kupendwa na mtu/watu jua kuwa utakuwa mtu wa maumivu kila siku. Anza kujipenda mwenyewe.

Katika mahusiano yoyote yale iwe yakimapenzi au kifamilia au yoyote usiweke expectations maana heartbreak ndio mwisho wake.
Nani hujichukia?
Anataka kupendwa sio kujipenda elewa chaliangu
 
Duh hatari! Eeh kweli wee kiboko hutaki ujinga. Sasa mwanawane ulishindwake kujua kuwa hakupendi kabla hamjaingiankwenye ndoa? Maana tabia watu kuficha ngumu sana au ndio ulikuwa umefumbwa macho maana hawa viumbe kwa kuloga awajambo🤣🤣🤣🤣
mzabzab wanawake ni waigizaji hataei.
Unaweza kuwa naye miaka 2 ukijua ni mchumba wako lkn akiona wewe bado unavuta muda...akijitokeza mwingine unaachwa anaenda na huyu akiyetayari kufunga ndoa haraka.

Akiingia ndani anagundua kuwa hampendi jamaa mpya isipokuwa alitaka ndoa.

Matokeo yake atabaki kugingwa na ex maisha yake yote.
 
Kumbe wanataka kutoa nuksi ya kuolewa tuu. Duh hatari!
 
Kabla utafte mtu wa kukupenda,kwanza jipende wewe kwanza
 
Nawe una matatizo..
Yaani una miaka 29 unataka i love you, good morning?
Hujui relationships zikimature priorities hubadilika?
Upendo unakuwepo ila sio lazima udanganywe ndo ujue.
Na jifunze kusoma mahusiano uliyonayo,
Kuna watu wanapenda ila hawaonyeshi. Sasa wewe ndo ufanye unachopenda kufanyiwa ili umfundishe mwenza wako.
Alafu go talk to people, nenda dates (haimaanishi Sex)
Na shusha pua hiyo wanaume wamejaa ila siku hizi hamna anaepoteza muda kwa mwanamke mwenye dharau.
 
Namshukuru Mungu, pamoja na matukio kadha wa kadha ya baadhi ya ex,ila wapo x ambao kipindi niko nao ,I felt heaven on Earth,kuna mmoja nilikua nikiumwa anakosa raha kabisa, ananambia "Babe natamani hiyo malaria yako ningeumwa mimi" means yy na alikua akimaanisha, pesa ,zawadi , attention, vilikua vitu vya kawaida kwng ,mwingine aliendesha gari usiku kucha peke yake from Dar to iringa(enz Niko chuo)na zawadi kibao,kunifanyia tu suprise ya birthday,japo nilimgombeza kidogo ,kuwa sio safe kwake bt deeply inside I was overwhelmed,,yaani Mungu awaweke nyie vijana mliojua kunipenda japo hatupo pamoja,bt ntawathamin daima,. Na mlio Nipa matukio , Mungu awalaan milele .akianza na babydady , ambaye tayari Mungu kashanijib bila kutumia nguvu.so dada nakuombea upate mtu atakaekupenda na mpendane yaani u ufeel upendo wake ,nae aufeel wako,daah hutotaman kufa
Hao jamaa hawawezi kukaimu nafasi kimagendo ?
 
Pole sana Ila utazoea, Sasa Bora hiyo ya kwako, ukisimuliwa ya wengine si utachoka, Mimi nimeoa Ila baada ya miaka kadhaa kwenye ndoa nikagundua kwamba mke wangu hanipendi na hajawahi kunipenda Kuna mtu mwingine ndiyo hasa kipenzi Cha roho yake na anatamani miaka ingerudi nyuma waoane, lakini unajua what I did? kwakua nilijua kupitia nawasiliano yao ya mala kwa mara ya sms, Whatsapp na maongezi ya kawaida baada ya kuidukua sm yake, nikaja kugundua kwamba hata pesa ninazompa almost nusu yake naye anampa jamaa, so you know what I did nikamweleza kwamba najua kila kitu with evidence Ila kwakua moyo wake umependa huko awe free maisha yanaendelea, anajaribu kama aneacha huo mchezo na kuonyesha kama ananipenda Ila moyo wangu ushakua sugu, so simuonei Tena wivu na wala simpendi Tena na wala simpendi yeyete isipokuwa nafanya mambo nipendayo kama kusafirisha sehemu mbali mbali na kuwa mwenyewe

Hii hatar sanaaa na mwanamke alivomjinga anaweza mzalia ata jamaa kwenye ndoa yako
 
Hello dears just want to share something with you about my love life.

I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.

Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.

Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.

Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)

My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.

I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
Tatizo wanawake wa siku hizi sijui MPOJE neno KUPENDWA limechukuliwa na KUPEWA HELA AU KUHONGWA yaani hisia zenu zimevurugwa na hela kama mmezaliwa bank na sio hospital
 
Mimi sijakuelewa kwakweli sababu taarifa zako zinakinzana. Sasa unakuwaje kwenye mahusiano na mtu for 10 years halafu muda huo huo useme haujawahi ku experience romantic relationship, it means ni mawili, aidha umekaa na mtu ambaye haeleweki for 10 years au umekuwa unajihusisha na mahusiano nje ya huyo uliyekaa nae for 10 years.

Sasa hapa tayari nimeshafeli kukuelewa maana taarifa zako zinakinzana zenyewe. Jambo lingine, wewe unatafuta mahusiano then unasema it takes 2 years kumzoea mtu, hapa inaonyesha wazi wewe ni tatizo.

Mimi ukishanionyesha dalili za kunipuuza kama mwanaume kwa namna yoyote ile sitaweza kuendelea kukufuatilia maana unaonekana unaniletea mapozi ambayo hayana umuhimu na kuna wanawake wapo kibao tayari kwa kuanzisha mahusiano mapya. Sasa miaka miwili niipoteze kwa kuhangaika na kufukuzia mwanamke na mahusiano utadhani duniani tumebakia wawili huo ni ukosefu wa akili ya maisha.

Jichunguze vema wewe ndie utakuwa ni tatizo hapo si mapenzi wala kitu gani. Kuna tabia unaweza kuwa nazo katika maisha ila sababu ya kuwa na kiburi (ego) unajiona upo sahihi na haupo tayari kubadilika halafu unabakia kujiuliza maswali ambayo ni nje ya haiba yako.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hiyo miaka kumi you were wasting hujakutana na marioo akucheki 24/7 I love you asubuhi mchana jioni halafu aje akupige mizinga!!
 
Hello dears just want to share something with you about my love life.

I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.

Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.

Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.

Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)

My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.

I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
you did find true love yet?
 
Ooh kumbe!ila kupendwa ni kuheshimiwa na kutunzwa... sio kuambiawa tu baby umekula kama yeye anavyotaka aambiwe..
Joannah Mapenzi ni vitu vingi ila hasa ni Care, Romantic nk

Ukisema huyo msukuma yeye hana mambo ya love umeamkaje, upowapi mpenzi kwamba yeye anafanya kwa vitendo tu hakuna vutendo vyengine Kwenye mahusiano zaidi ya hivi kitu pekee utachotoa mfano wa vitendo ni yeye kukupa pesa tu (Materials Things) nipe mfano wa tendo lingi e huwezi kupata....So in real sense huyo msukuma hana mapenzi hakujari zaidi ya kutumia power yake ya pesa tu imagime akiwa Hana pesa then Nini ata offer kwako.

Mawasilano kwenye mahusiano yana nafasi kubwa na ndio vutendo vyenyewe kwenye mapenzi kutumiwa sms 'umeamkaje love' 'upowapi love' hio inaonesha CARE mpenzi wako anajari kuhusu wewe hizo sms vinafanya hata kuondoa misongo.

Malanyingi kisaikolojia ukiwa upo low/Down unamtumia sms mpenzi wako soft chatting zinakufanya uwe High kidogo.

Hayo ndio mapenzi huwezi kuniambia anakupenda kwa vitendo kwa kukutumia pesa tu na kukuuuliza umepokea hayo sio mapenzi
 
Back
Top Bottom