EDWARD JOHN
Member
- Mar 9, 2012
- 83
- 183
Learn to love yourself,uta enjoy sana kikubwa tafuta kibunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh hatari! Eeh kweli wee kiboko hutaki ujinga. Sasa mwanawane ulishindwake kujua kuwa hakupendi kabla hamjaingiankwenye ndoa? Maana tabia watu kuficha ngumu sana au ndio ulikuwa umefumbwa macho maana hawa viumbe kwa kuloga awajambo🤣🤣🤣🤣Yani ni kwamba ni kama kabaki nyumbani awaangalie watoto hakuna Cha zaidi, as she is no longer my wife pamoja na kwamba anajifanya anajutia hayo mambo lakini I told her that it is non of my business, Kama hapa mda huu nipo zangu Kigali na sitaki kuulizwa narudi lini wala nafanya nini
Nani hujichukia?Ukitegemea furaha maishani kwa kupendwa na mtu/watu jua kuwa utakuwa mtu wa maumivu kila siku. Anza kujipenda mwenyewe.
Katika mahusiano yoyote yale iwe yakimapenzi au kifamilia au yoyote usiweke expectations maana heartbreak ndio mwisho wake.
mzabzab wanawake ni waigizaji hataei.Duh hatari! Eeh kweli wee kiboko hutaki ujinga. Sasa mwanawane ulishindwake kujua kuwa hakupendi kabla hamjaingiankwenye ndoa? Maana tabia watu kuficha ngumu sana au ndio ulikuwa umefumbwa macho maana hawa viumbe kwa kuloga awajambo🤣🤣🤣🤣
Kumbe wanataka kutoa nuksi ya kuolewa tuu. Duh hatari!mzabzab wanawake ni waigizaji hataei.
Unaweza kuwa naye miaka 2 ukijua ni mchumba wako lkn akiona wewe bado unavuta muda...akijitokeza mwingine unaachwa anaenda na huyu akiyetayari kufunga ndoa haraka.
Akiingia ndani anagundua kuwa hampendi jamaa mpya isipokuwa alitaka ndoa.
Matokeo yake atabaki kugingwa na ex maisha yake yote.
Hao jamaa hawawezi kukaimu nafasi kimagendo ?Namshukuru Mungu, pamoja na matukio kadha wa kadha ya baadhi ya ex,ila wapo x ambao kipindi niko nao ,I felt heaven on Earth,kuna mmoja nilikua nikiumwa anakosa raha kabisa, ananambia "Babe natamani hiyo malaria yako ningeumwa mimi" means yy na alikua akimaanisha, pesa ,zawadi , attention, vilikua vitu vya kawaida kwng ,mwingine aliendesha gari usiku kucha peke yake from Dar to iringa(enz Niko chuo)na zawadi kibao,kunifanyia tu suprise ya birthday,japo nilimgombeza kidogo ,kuwa sio safe kwake bt deeply inside I was overwhelmed,,yaani Mungu awaweke nyie vijana mliojua kunipenda japo hatupo pamoja,bt ntawathamin daima,. Na mlio Nipa matukio , Mungu awalaan milele .akianza na babydady , ambaye tayari Mungu kashanijib bila kutumia nguvu.so dada nakuombea upate mtu atakaekupenda na mpendane yaani u ufeel upendo wake ,nae aufeel wako,daah hutotaman kufa
Jamaa gani?Hao jamaa hawawezi kukaimu nafasi kimagendo ?
Kwa hiyo mwanawane wee mkeo umempa uwanja wote wakujidai na huyo kipenzi chake?
Pole sana Ila utazoea, Sasa Bora hiyo ya kwako, ukisimuliwa ya wengine si utachoka, Mimi nimeoa Ila baada ya miaka kadhaa kwenye ndoa nikagundua kwamba mke wangu hanipendi na hajawahi kunipenda Kuna mtu mwingine ndiyo hasa kipenzi Cha roho yake na anatamani miaka ingerudi nyuma waoane, lakini unajua what I did? kwakua nilijua kupitia nawasiliano yao ya mala kwa mara ya sms, Whatsapp na maongezi ya kawaida baada ya kuidukua sm yake, nikaja kugundua kwamba hata pesa ninazompa almost nusu yake naye anampa jamaa, so you know what I did nikamweleza kwamba najua kila kitu with evidence Ila kwakua moyo wake umependa huko awe free maisha yanaendelea, anajaribu kama aneacha huo mchezo na kuonyesha kama ananipenda Ila moyo wangu ushakua sugu, so simuonei Tena wivu na wala simpendi Tena na wala simpendi yeyete isipokuwa nafanya mambo nipendayo kama kusafirisha sehemu mbali mbali na kuwa mwenyewe
Tatizo wanawake wa siku hizi sijui MPOJE neno KUPENDWA limechukuliwa na KUPEWA HELA AU KUHONGWA yaani hisia zenu zimevurugwa na hela kama mmezaliwa bank na sio hospitalHello dears just want to share something with you about my love life.
I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.
Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.
Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.
Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)
My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.
I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
Basi shughuli ndio imekwisha hapa.Yes nina mtoto nae mmoja 3 years old boy
you did find true love yet?Hello dears just want to share something with you about my love life.
I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.
Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.
Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.
Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)
My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.
I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
Joannah Mapenzi ni vitu vingi ila hasa ni Care, Romantic nkOoh kumbe!ila kupendwa ni kuheshimiwa na kutunzwa... sio kuambiawa tu baby umekula kama yeye anavyotaka aambiwe..
Not yet sijui namkosi gani humu duniani I find myself every time singing maybe this love is not for meee am single by harmonizeyou did find true love yet?