Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa comment yangu mkuu au kubishana ni tabia yakoWacha ww!! sisi tunapenda wapenzi wetu ile tunaita love to death.....
acha kabisa kupotosha umma
[emoji16][emoji16] binafsi Niko emotional Sana nikipenda huwa napenda haswaa full Yale Mapenzi ya ki-korea na huwa na enjoy kuishi ktk ulimwengu huo , Ila Sasa nilichokuja kubaini ukiwa hivyo ktk maisha yetu ya kibongo jiandae kupigwa tukio, utaonekana Kama zuzu /zoba Fulani hivi umezama kwenye Mapenzi, muhusika anakuona kwake haujiwezi ,Kesi yako Kama yangu
Mapenzi ni Zaidi ya vile watu hufikiiria lakini being romantic sio kipaji unaweza kujifunza
Mapenzi bhana unampenda mtoto wa watu unajitahidi kumuonyesha love zile za kihindi lakini
Anyway pray for Tanzania kikubwa amani
[emoji457][emoji457]Ukitegemea furaha maishani kwa kupendwa na mtu/watu jua kuwa utakuwa mtu wa maumivu kila siku. Anza kujipenda mwenyewe.
Katika mahusiano yoyote yale iwe yakimapenzi au kifamilia au yoyote usiweke expectations maana heartbreak ndio mwisho wake.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tangu ana miaka 19 kiruuuuuuuu ,You are not serious! Ten years in relationship and you are now 29 yrs! Umetumika sana katika umri mdogo you hve no one to blame than yourself! Hadi nakuhurumia!
Ila watu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]Badala ya kumwambia huyo mwanaume wako akufanyie unayoyataka unakuja kutuambia sisi bogus
[emoji16][emoji16][emoji16]Tatizo lako unachangua sana yaani unamuumba mtu wako wa udongo inatakiwa ifike wakati ukubali kile unachostahili sio unachokitaka...btw women always cry for nothing yaani ten fu..cking years katika mahusiano
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] I bet itakuwa ni mshana huyo (kidding)Una miaka 29, upo na jamaa mmoja wa humu jf kwenye mahusiano kwa miaka 10, achana na wale wawili.. So jamaa ulianza kumoa utamu toka una miaka 19, muda wote huo anakifukua kipochi manyoya, wala hakuheshimishi [emoji848], hata ndoa hana mpango nawe umeng'ang'ana tu..
Otherwise hii ni chai kama chai nyingine.. 10yrs,upo tu unafokolewa dada zetu mnakwama wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hadi wameshazaa, mbna wasubiri kubariki ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakutana na rude Gal, kutana na Gal mwngne utaenjoy hayo mapenzi ya kuch kuch hottae[emoji16][emoji16] binafsi Niko emotional Sana nikipenda huwa napenda haswaa full Yale Mapenzi ya ki-korea na huwa na enjoy kuishi ktk ulimwengu huo , Ila Sasa nilichokuja kubaini ukiwa hivyo ktk maisha yetu ya kibongo jiandae kupigwa tukio, utaonekana Kama zuzu /zoba Fulani hivi umezama kwenye Mapenzi, muhusika anakuona kwake haujiwezi ,
[emoji16][emoji16]Hebu ngoja kwanza......10 years!!. Yani umeanza io kitu at 19y/o
And umesema wanaume wawili huyo mwingi ilikuw ni before hapo au humo humo
[emoji2][emoji2][emoji2]anyway hebu punguza kuzubaa
Nimemuambia hivyo pia [emoji16][emoji16]Tamthilia au series zimekuharibu.
Imagine [emoji16]Tatizo hisia zenu zipo kwenye pesa, mtu atakupaje romance kama wewe umelenga kwenye salio?
Yaani nimekuelewa wewe hujui tu mercy, ninayo nia ya kufanya jambo kuhusu hili tatizo sijui unapatikana wapi... ila nakuombea kwa Mungu umpate mwenye hubba la dhati🤲🤲Hello dears just want to share something with you about my love life.
I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.
Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.
Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.
Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)
My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.
I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] my ribsIla mwenzangu kupendwa raha loh
Mimi pia natafuta wa kunipenda kwakweli
[emoji16][emoji16][emoji16] Mambo ya kupigwa matukio Nani anataka Sasa !? Siku hizi ni kuwa sex partners tu hayo Mambo ya kupendana yamepitwa na wakati mnoooMmeona sasa..mtatuua nyie watu…
Achaneni na hayo mawazo mtupende sasa[emoji38][emoji38][emoji38]
Maybe ana maanisha ile kuwa serious in relationship , sitaki kuamini kuwa in 10yrs alikuwa analiwa na huyo huyo mtu 1 hizo zitakuwa Ni chaiSi bora hata yeye hiyo ten yrs alikuwa na mmoja tu, kwanza mimi namsifu sana, ten yrs na mtu mmoja tu anahitaji zawadi huyu...na ujuwe hata hajaolewa lakini katulia na mmoja tu... really encouraging!
[emoji16][emoji16][emoji16] wakina Lee min hoMtoa mada tamthilia zimekuharibu