Sijawahi kupendwa

Sijawahi kupendwa

.......pole kwa yanayokukuta, jpende kwanza ww ili upendwee
 
Sijui nimshauri nini huyu......

Enewei Ivyblue kapita mulemule.

Just love yourself kwanza, ukifaulu hapa utapendwa pia.
 
Pole Sana seems film za kiphilipino zime kuharibu , maisha ya uhalisia na Hayo Mapenzi unayo yataka Yana exist kwa watu wache mnoo
 
Kesi yako Kama yangu

Mapenzi ni Zaidi ya vile watu hufikiiria lakini being romantic sio kipaji unaweza kujifunza

Mapenzi bhana unampenda mtoto wa watu unajitahidi kumuonyesha love zile za kihindi lakini

Anyway pray for Tanzania kikubwa amani
[emoji16][emoji16] binafsi Niko emotional Sana nikipenda huwa napenda haswaa full Yale Mapenzi ya ki-korea na huwa na enjoy kuishi ktk ulimwengu huo , Ila Sasa nilichokuja kubaini ukiwa hivyo ktk maisha yetu ya kibongo jiandae kupigwa tukio, utaonekana Kama zuzu /zoba Fulani hivi umezama kwenye Mapenzi, muhusika anakuona kwake haujiwezi ,
 
Ukitegemea furaha maishani kwa kupendwa na mtu/watu jua kuwa utakuwa mtu wa maumivu kila siku. Anza kujipenda mwenyewe.

Katika mahusiano yoyote yale iwe yakimapenzi au kifamilia au yoyote usiweke expectations maana heartbreak ndio mwisho wake.
[emoji457][emoji457]
 
You are not serious! Ten years in relationship and you are now 29 yrs! Umetumika sana katika umri mdogo you hve no one to blame than yourself! Hadi nakuhurumia!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tangu ana miaka 19 kiruuuuuuuu ,
 
Tatizo lako unachangua sana yaani unamuumba mtu wako wa udongo inatakiwa ifike wakati ukubali kile unachostahili sio unachokitaka...btw women always cry for nothing yaani ten fu..cking years katika mahusiano
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Una miaka 29, upo na jamaa mmoja wa humu jf kwenye mahusiano kwa miaka 10, achana na wale wawili.. So jamaa ulianza kumoa utamu toka una miaka 19, muda wote huo anakifukua kipochi manyoya, wala hakuheshimishi [emoji848], hata ndoa hana mpango nawe umeng'ang'ana tu..

Otherwise hii ni chai kama chai nyingine.. 10yrs,upo tu unafokolewa dada zetu mnakwama wapi?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] I bet itakuwa ni mshana huyo (kidding)
 
[emoji16][emoji16] binafsi Niko emotional Sana nikipenda huwa napenda haswaa full Yale Mapenzi ya ki-korea na huwa na enjoy kuishi ktk ulimwengu huo , Ila Sasa nilichokuja kubaini ukiwa hivyo ktk maisha yetu ya kibongo jiandae kupigwa tukio, utaonekana Kama zuzu /zoba Fulani hivi umezama kwenye Mapenzi, muhusika anakuona kwake haujiwezi ,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakutana na rude Gal, kutana na Gal mwngne utaenjoy hayo mapenzi ya kuch kuch hottae
 
Hebu ngoja kwanza......10 years!!. Yani umeanza io kitu at 19y/o

And umesema wanaume wawili huyo mwingi ilikuw ni before hapo au humo humo

[emoji2][emoji2][emoji2]anyway hebu punguza kuzubaa
[emoji16][emoji16]
 
Hello dears just want to share something with you about my love life.

I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.

Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.

Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.

Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)

My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.

I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
Yaani nimekuelewa wewe hujui tu mercy, ninayo nia ya kufanya jambo kuhusu hili tatizo sijui unapatikana wapi... ila nakuombea kwa Mungu umpate mwenye hubba la dhati🤲🤲
 
Mmeona sasa..mtatuua nyie watu…
Achaneni na hayo mawazo mtupende sasa[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji16][emoji16][emoji16] Mambo ya kupigwa matukio Nani anataka Sasa !? Siku hizi ni kuwa sex partners tu hayo Mambo ya kupendana yamepitwa na wakati mnooo
 
Si bora hata yeye hiyo ten yrs alikuwa na mmoja tu, kwanza mimi namsifu sana, ten yrs na mtu mmoja tu anahitaji zawadi huyu...na ujuwe hata hajaolewa lakini katulia na mmoja tu... really encouraging!
Maybe ana maanisha ile kuwa serious in relationship , sitaki kuamini kuwa in 10yrs alikuwa analiwa na huyo huyo mtu 1 hizo zitakuwa Ni chai
 
Back
Top Bottom