Sijawahi kupendwa

Sijawahi kupendwa

You might be the problem. I'm kinda nasty na siwezi kutongoza mwanamke yeyote humu JF, hii ID iko kila mahali mpaka kula tunda kimasihara na kufumaniwa.
Kwanini?
Many people don't know love and so they don't make love. They just like the idea of love lakini hawajui hayo mapenzi yenyewe ni yepi.

Nadhani your expectation zimezidi uhalisisia.

Lakini tujiulize, hivi una mtu miaka 10 mko wote.....huambiwi I love you, good morning sweetie, how was your day, I miss you, etc. Narudia, You are the problem.
 
Ukweli kabisa ulichosema na maisha yanaenda.

Kikubwa kuheshimiana na amani iwepo, akirudi anakuta kaandaliwa maji ya vuguvugu ya kuoga, akitoka ugali wa bada na kuku viko tayari akishiba unamtandikia na katikati ya kitanda unaweka kitenge/khanga yako nadhifuuu ambayo upande mwingine umejifunga .......

Asubuhi mnaamka mnatabasamu tuu watoto wanajua mshua anaupiga mwingi.....

#PaaLinafichaMengi....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaah wee
 
Aahahahahaaa babuuuu unaanzaje kususa sasa.....

Nipe link ya chimbo jipya la kitimoto mjini Daslam nakuja na boksi la KVant.....

Ila saa ya kuondoka ukishindwa kunyanyuka namuita Sky aje akurudishe nyumbani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
You might be the problem. I'm kinda nasty na siwezi kutongoza mwanamke yeyote humu JF, hii ID iko kila mahali mpaka kula tunda kimasihara na kufumaniwa.
Kwanini?
Many people don't know love and so they don't make love. They just like the idea of love lakini hawajui hayo mapenzi yenyewe ni yepi.

Nadhani your expectation zimezidi uhalisisia.

Lakini tujiulize, hivi una mtu miaka 10 mko wote.....huambiwi I love you, good morning sweetie, how was your day, I miss you, etc. Narudia, You are the problem.
Hapo kwenye ID kila mahali you got me wrong you have mistaken me with some one else.
 
kuna wanaume wakogo hvyo aseehh!hawanaga huo muda wa kuonesha hayo mapenzi live but deep inside wanapenda kweli,mapenzi ni zaidi ya hizo show off za good morning ,umekula n.k,angalia mazuri yake anakuhudumia,anajali utu wako,is he there for you when ukimhitaji?kama vyote afanya baasi mvumilie tu my dear.

Umeandika ukweli kabisa,,,hizo fairy tales za movies zimefanya watu wametoka kabisa kwenye uhalisia,, Show off zimekuwa nyingi sana na watu wamekuwa wanachukia uhalisia... (ndio maana kuwa watu kwa sim u wanaongea vizuri ila wakiwa Live hwana stori)

But kuna wanaume wapo Real, hawa fake hisia, Baby I love you inayotoka mara moja kwa nusu mwaka ni ina ukweli kuliko hizo za kukumbushana kila siku...

Sijui nani alitoa hizo standards kuwa kuchati, sms, maneno Baby baby ndio kupendwa....
 
Try getting a Pet....,

Kuna tofauti kati ya mapenzi / kupendwa na mtu romantic.., ni nature ya mtu; Pia usitegemee moto mlioanza nao leo mkawa nao 20 years from now...,

Tatu kuwa busy na issue zako kuna watu wengine hawapendi mtu needy / wanakereka / wanachoka...., Kuna mdau mmoja aliulizwa kwenye anniversally yako ya miaka 50 kwamba kawezaje kukaa na mwenza wako muda wote huo akajibu..., Nimeweza kukaa huu muda wote kwa kutokukaa nae..., Yaani sio kila siku wapo pamoja kuna muda anasafiri akirudi anakuta amekuwa missed (ukiangalia sana how can you be missed if you are always around) ?
 
Hello dears just want to share something with you about my love life.

I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake.

Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote wawili ambao nilishawahi date nao wananisifia sana kwenye suala la uaminifu.

Am kind of wife material can do all house chores, am respectful to all people, ni msafi kuanzia ndani mpaka nje, am not after my man's money I know how to make my own, sina sura mbaya wala nzuri (am presentable) but I always wonder why I can't find true love.

Now nipo kwenye r/ship na mwanaume mmoja (yupo pia humu JF jina kapuni) yan he doesn't show love he doesn't care about me despite being in r/ship for almost ten years. Sipendagi kuanzisha uhusiano mpya coz am that kind of a person ambae ni mgumu sana kumzoea mtu (it may take two years kumzoea mtu mpya)

My point is natamani kupendwa jamani natamani kubembelezwa kama wanawake wengine. I want to feel love.

I want to be asked in the morning 'how are u sweetie have a nice day'
I want a man to tell me 'I love you Mercy you are my everything'..
I want to make love & not sex which I do now.. jaman sijui mnanielewa..
Miaka 10 na umevumilia tu, sijui kama mtaweza achana. Harmta ukiolewa hutoweza kuachana nae.
 
My point of view...your introvert
So ukishajua hivyo unaanzia hapo
Huwa hatutafuti wapenzi bali tunatumbukia kwenye mapenzi
Usijiwekee mipaka ya nani wa kumsalimia nani wakumpita , ukiwa kazini salimia watu au kwenye eneo lolote unalotumia muda mwingi wa maisha yako penda kuwa msikivu na mchangamfu
Ukitumiwa DM's penda kuzijibu na mkiset meeting fika mapema na kwanauli yako .
Usiombe kamwe pesa kwa wanaume , na wewe usifanye kitu bila feelings zako kukutuma akikisha kila mala unapokutana na wanaume kutalk au kuspend a day pamoja moyoni mwako uwe na furaha na usikumbuke yaliyokuumiza wala kujutia .
Duniani tupo kuandika nyakati za furaha
Miss be happy na uache ubaguzi wa wamaume mara huyu mfupi nimemzidi urefu simtaki kumbe inside huyo mwanaume anasoftware amazing for your heart healing ila motherboard unaizalau 🚦
 
Pole sana Ila utazoea, Sasa Bora hiyo ya kwako, ukisimuliwa ya wengine si utachoka, Mimi nimeoa Ila baada ya miaka kadhaa kwenye ndoa nikagundua kwamba mke wangu hanipendi na hajawahi kunipenda Kuna mtu mwingine ndiyo hasa kipenzi Cha roho yake na anatamani miaka ingerudi nyuma waoane, lakini unajua what I did? kwakua nilijua kupitia nawasiliano yao ya mala kwa mara ya sms, Whatsapp na maongezi ya kawaida baada ya kuidukua sm yake, nikaja kugundua kwamba hata pesa ninazompa almost nusu yake naye anampa jamaa, so you know what I did nikamweleza kwamba najua kila kitu with evidence Ila kwakua moyo wake umependa huko awe free maisha yanaendelea, anajaribu kama aneacha huo mchezo na kuonyesha kama ananipenda Ila moyo wangu ushakua sugu, so simuonei Tena wivu na wala simpendi Tena na wala simpendi yeyete isipokuwa nafanya mambo nipendayo kama kusafirisha sehemu mbali mbali na kuwa mwenyewe
 
Aisee!!!
 
Dah[emoji24]
 
Hii kali...
 
Kwa hiyo mwanawane wee mkeo umempa uwanja wote wakujidai na huyo kipenzi chake?
 
Yani ni kwamba ni kama kabaki nyumbani awaangalie watoto hakuna Cha zaidi, as she is no longer my wife pamoja na kwamba anajifanya anajutia hayo mambo lakini I told her that it is non of my business, Kama hapa mda huu nipo zangu Kigali na sitaki kuulizwa narudi lini wala nafanya nini
 
Back
Top Bottom