Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Ndugu wana jf poleni na majukumu
Kwà kweli simuelewi mpenzi wàngu kabisa. Tokea niwe nae hajawahi kunipigia simu zaidi tuu yà kunitumia meseji basi japo mimi na mpigia simu na kumuungia vifurushi vyenye txt na dk ila hanipigii simu
Ndugu sielewi huyu mwanamke shida ni nini ila kwenye txt yupo romantic sana na nikijitosa kumpigia simu anakua siyo muongeaji bali anakuwa ni kuitika tuu.
Wakuu simuelewi kabisa kabisa shida itakua ni nini hapa
Kwanini hanipigii simu yeye kazi yake ni kuchati tuu, yote ananiambia kwa kuchati nikimpigia simu haongei anakua msikilizaji na kazi yake ni kuitika tuu mpaka na boreka sana yani nikimpigia hatumalizi dk 2 maongezi yameisha maana ukijifanya unaongea utageuka kuwa kiredio cz utasikilizwa tuu na kuitikiwa.