machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Binafsi sipendi kuongea na simu kupiga story isipokua kwenye mambo ya kibiashara au vitu muhimu sana!
Huwa napenda kupiga story na mtu physical tukionana macho kwa macho
Naweza weka vocha ya buku nisijiunge dakika nikaongea nayo hata wiki mpaka iishe