Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mpira hajuiHii huwa inanishangza,je mpira ni kipaji au kujituma?
Kibu ana kipaji au anajituma
Utaambiwa anajituma
Ili uone umuhimu wa Kibu kuwa na watu wawili pale mbele, namba 10 mzuri na namba 9 mzuri. Kibu ni mchezaji mwenye nguvu ya kuukokota mpira na kufika nao nje kidogo ya 18 ila hajawa na ubunifu wa ni nini afanye akishafika hapo tatizo na watu wanaomzunguka hilo eneo ni saido na jobe.Huyu mchezaji hana hadhi ya kucheza Simba
Jitihada ndio muhimu zaidiWhich One should be core or subsidiary
HakikaAna mpira wa kizamani sana