Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Onana ni mali!Ila Onana ni mzito kama ng'ombe. Atuachie timu yetu kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onana ni mali!Ila Onana ni mzito kama ng'ombe. Atuachie timu yetu kwa kweli
Kibu mzee wa mbio. Akili kisoda
Hakuna kocha yeyote anayekuja Tanzania iwe kwenye Klabu au timu ya Taifa anayemwacha Kibu Dennis halafu Shabiki mandaazi wa Utopolo kama wewe unaandika ushubwada kama huu 😂😂😂😂Ana mpira wa kizamani sana
Kibu dii a.k.a mnyama kazi kutoka milima ya kijani Kumuyange Ngara KageraHii huwa inanishangza,je mpira ni kipaji au kujituma?
Kibu ana kipaji au anajituma
Utaambiwa anajituma
Sasa between the two moja inapokuwa major si ni automatic hiyo nyimgine inakuwa subsidiary?Which One should be core or subsidiary
😅😅😅😅 kweliiiiiii....Anajituma. Ushapata nafasi pambana itumie.
Mkeo karudi safari ana hamu na wewe halafu haisimami isukumizie kama utambi ila usimwache.